Uchaguzi 2020 Karata ya mwisho ya CCM ni kuahirisha uchaguzi na sio kuiba kura

Haviwezi
Mwaka huu nahisi mpaka vifaru vitamwagwa barabarani
kuwasaidia,Operators wa Vifaru nao wamesomeshwa namba wao na Ndugu,Jamaa,Watoto na Familia zao pia wameisoma.Jiulize nini kitatokea?
 


Ndoto za mchana JPM hawezi kushindwa uchaguzi huu no matter what. Hizi kelele ni JF pekee.
 
Hivi mnaposema ccm ina mtaji wake wa wanachama huwa mnatumia akili kuongea au mnaimba tu kama kasuku? Huo mtaji ni maroboti wasio na utashi wa kuhama chama wanapoona dhuluma inafanyika. Au ukiwa ccm huwezi kuhama chama hata kama unadhulumiwa?

lissu on average ategemee less than 20%, hakuna chama chochote kinaweza kuitoa ccm madarakani hata mkiungana vyama vyote vya upinzani nchini, kelele za upinzani kila sku uku forum utadhan uchaguzi umeshaisha, get the facts right, tundu lissu alisema lowasa mwenyewe kama mwenyewe ana asilimia 18% ya wapiga kura wote tanzania, toa zile 18% 2015 unabaki na ngap? haya apo mlikua mmeungana toa za vyama vingine vilivowasupport, kwa kfupi tegemea less than 20% akijitahidi sana
 
Mukisha Shiba maharage basi munawahi nyuma ya keyboard nakuanza kumbwela mbwela, sio?
 
Ndoto za mchana JPM hawezi kushindwa uchaguzi huu no matter what. Hizi kelele ni JF pekee.
Offcourse “atashinda”. How? Mabao ya aina yote yanaweza kuhusika
 
Sasa kama unamtaji wa wapiga kura unapiga kampeni za nini, unatumia garama kubwa vyombo vya habari vyote umechukua si ungekaa kimya basi
 
Ni Kosa kubwa kuihusisha taasisi ya serikali na chama cha siasa. Mwandishi kwa namna yoyote ile utakuwa hujui Kama nchi hii inaongozwa kwa misingi ya katiba, sheria na taratibu mbalimbali zilizowekwa ulichotuletea hapa ni hekaya mnazozungumza huko vijiweni.

Huwezi ukaichanganya Taasisi huru kama NEC na chama. Wakati chama ni mdau tu wa Taasisi.

NEC hii iliyomsaidia Lissu kukamilisha Taarifa zake za maombi ya kuteuliwa kuwa Rais alipopeleka kwao.

Ndiyo NEC Hii iliyopokea rufaa zenu na kuzishughulikia kwa umakini na uangalifu mkubwa.

Ndio NEC hiyo hiyo itakayosimamia uchaguzi mkuu 2020 bila kijali chama.

Nakushauri kasome tena katiba ya JMT namna tume inavyoundwa na majukumu yake. Kisha uje upya na hili andiko lako nusu
 
Mliogopa nini sasa kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa Nov 2019 mpaka mkalazimika kutumia mbinu chafu ya kuvuruga uchaguzi huo? Ni kipi ambacho kwa kuitumia Tume mmeengua wagombea wa Vyama vya Upinzani katika maeneo ambayo mnajua hamuungwi mkono na wananchi mfano Tunduma,nk?
Daftari hilo hata mngeandikisha nchi nzima haliwezi kusaidia wakati kupiga kura ni siri!
 
Lijuakali said it all with evidence...
Nani mwizi wa kura....

 
Hao wapenzi wako wapi, labda wanafunzi wa sekondari wanaokuja kuangalia show
 
Hapa ndo mnapofeli chadomo yaani kura za Twitter kwnye ma parody ndo zinawaaminisha kuwa lissu anashinda , Fanyen tafit Field sio mitandaon !
Kwani NGO'S zimefunguliwa ili kufanya kazi hiyo?
 

Hakuna jinsi, wakati umefika wa CCM kuwa KANU.
 
Sawa mkuu ila ni sheria ipi inasema ukichagua upinzani na nikashinda sileti maendeleo na kwanini Hiyo NEC haijakemea matamshi hayo.
 
Uchaguzi huu ni kati aliyerudishwa kwetu na Mungu na anayetaka kwenda kwa Mungu kuwa kiongozi wa malaika asema Bagonza
 
Uchaguzi Mkuu upo kikatiba. CCM watatumia sheria ipi kuuahirisha?
Kitendo hicho kitakuwa mapinduzi. Vyombo vya Dola havitakaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…