Uchaguzi 2020 Karata ya mwisho ya CCM ni kuahirisha uchaguzi na sio kuiba kura

wakiailisha uchaguzi alafu ikulu akaenani maana wengine atutaki kuwaona pale
 

 
Wanajitekenya na kucheka wenyewe.

Kama wizi ungefanyika 2015 Awamu ya Magu imefanya kazi usiku na mchana.
 
Fujo mtake kusababisha nyie alafu mnataka kuhamisha goli kwa wengine.Ukiona ccm haijali kabisa swala la kua na siasa za kishindani za haki na usawa ujue wanaogopa kila kitu nandio maana ata swala tu tume huru ya uchaguzi na sheria zake pamoja na mapungufu yake hamtaki kabisa kuyasema au zibadilishwe.Huo mtaji unaousema wala sio wanachama bali vyombo vya serikali na ndipo kiburi chenu kilipo tofauti na hapo hamna kitu.Kwahiyo acheni kujificha kwenye mwavuli wa serikali.kama kweli mnajiamini njooni basi jinsi mlivyo bila msaada wowote muone kazi.
 
Taasisi gani hiyo inayoongoza serikali alafu inaogopa kuweka mazingira sahihi ya ushindani.Hakuna cha taasisi hapo,ni kakikundi tu cha watu walirithi nchi toka ukoloni wakaamua kutumia ujinga wa wananchi kujineemesha.Kwahiyo labda uniambie ni taasisi yakufisidi nchi.Ndo maana pamoja na mbwembwe zako nyingi dhidi ya ccm yako bado nchi hii ni maskini wakutupwa.
 
Acha kupotosha watu wewe unajua gharama ambayo serikali imetumia mpaka sasa kufanikisha zoezi la uchaguzi? Huu upotoshaji huwezi kuwapata wananchi wenye akili timamu utawapata wenzio tu
 
Acha kupotosha watu wewe unajua gharama ambayo serikali imetumia mpaka sasa kufanikisha zoezi la uchaguzi? Huu upotoshaji huwezi kuwapata wananchi wenye akili timamu utawapata wenzio tu
Nini kimepotoshwa.
 
Naona wamechelewa kwa kila kitu. Ila naona CCM na NEC kilichobaki kwao ni kuiba kura.
 

Mimi nadhani Kissy alikua anajishtukis tu mwenyewe kwa Mambo aliyoyafanya na kesi alizokuanazo. Hilo la kusema akija tu wangemkata alikua analisema yeye, kuhusu kuuwawa alisema yeye, NEC itamuemgua amesema yeye na vibaraka wake lakini hakuna taasisi nadhani yenye mpango nae. HUYU MTU NI MUONGO MUONGO, ANAPENDA KUZUSHA VITU AMBAVYO HAVIPO.

Mahakama tu ndio ina deni na Kissy na asijisahaulishe kesi zake bado zipo.
 


NEC ninavyojua ilishakabidhi wagombea Urais wa Vyama vyote orodha ya wapigakura. Hata zile hadithi za wanaongeza watu sijui wanafanya nini nilikua najiuliza zinatoka wapi na zinawezekanaje? Ila Nyumbu ni Nyumbu tu wakidanganywa ndio wanaoona Raha.

NEC ndio wenye shamans ya kuweka wazi hilo daftari ulilosema lipo wazi na si mamlaka au Chama chochote.

NEC ingelikua inania ya kufanya huo upuuzi mnaosema wala isingehangaika maana si ingefanya ndani ya miaka 5 ya ubireshaji daftari Sasa why leo.
Tuache kushabikia uongo jamani. TUKUTANE OKTOBA 28,2020.
 
Umesoma alichosema Lowassa "inatishatisha huko mtaani"jipangeni
 
True Ila kwa sasa baada ya kiwewe wamesalia na mbinu moja tu ya kuwadiscourage watu eti utasikia Lisu hawezi kuwa rais kamwe hata wote wampigie kura Mara hatuwezi kukabidhi nchi kwa kibaraka wa mabeberu nk nk yaani wanajaribu kuwa attack watu kisaikolojia wenye weak soul sasa na hii mbinu inaenda kubuma maana kila kukicha mikutano kwa TAL inazidi kuwa mikubwa.
Ccm mnatakiwa kutambua kwamba hamuwezi kushindana na Mungu
 
Yaani uchaguzi uahirishwe kisa Lissu anaezidiwa umaarufu na Zuchu mikoani? Wachambuzi wa siasa wa upinzani mnaishi ndotoni sana
 
Hivi mnaposema ccm ina mtaji wake wa wanachama huwa mnatumia akili kuongea au mnaimba tu kama kasuku? Huo mtaji ni maroboti wasio na utashi wa kuhama chama wanapoona dhuluma inafanyika. Au ukiwa ccm huwezi kuhama chama hata kama unadhulumiwa?
Kuhama chama na kuhamia chama gani?! Kuna kamsemo kuwa "if they defeat you, JOIN THEM! Hakuna aliye tu - defeat, hivyo hatuna PAKUHAMIA! We are here to stay.
 
Kama mna wanachama wa kutosha mbona mnawawekea mapingamizi wagombea wa wapinzan?, mbona hawakuwafaa wkt wa uchaguz wa serikal za mitaa?, mbona mmelazimisha kupata wabunge bila kupingwa? na mbona mnaiogopa tume huru ya uchaguzi.
Hizo ni technique, tu mbona Lissu alimuwekea pingamizi Magufuri na nyie wekeni.
 
Hivi hujui watumishi wengi wa NEC kama sio wote ni makada wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…