Gamic
JF-Expert Member
- Jun 24, 2021
- 1,156
- 2,271
Pia John Mnyika na Ezekiel Wenje wako mkoani Geita kuuwasha moto . Ezekiel Wenje amesema " Suala la kuiondoa ccm madarakani ni suala la dharula ( emergency) . Wakati ni sasa ." Wananchi tuanze na uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024, tuwaondoe ccm wote halafu tumalize kazi 2025 .
Mwenyezi-Mungu azibariki kazi za Chadema katika kuwakomboa watanzania.
Mwenyezi-Mungu azibariki kazi za Chadema katika kuwakomboa watanzania.