Karatu: CCM yakata Tamaa, yakubali kuachia Jimbo, Chopa ya Chadema yatikisa

Karatu: CCM yakata Tamaa, yakubali kuachia Jimbo, Chopa ya Chadema yatikisa

Ningependa sana na Slaa na Mwabukusi nao wawemo ili Spana zipigwe kisawasawa.
 
CCM hawanaga hoja; ni kakikundi kezi tu ka kura - hamnaga chama mule.
Sasa hivi ni mipango namna ya kuiba kura na si kuuza sera zao kwa wanachi.
Maandalizi ya CCM katika kushinda uchaguzi ni huo wizi uliosimamiwa na Bashe, wa kutafuta pesa kupitia ufisadi wa kwenye biashara ya sukari.
 
Tulishawapuuza kitambo sana kwa sababu tulijua watadhalilika muda si mrefu
Kuna mwehu mmoja humu anaitwa Mwashamba alifikia mpaka kusema eti Lisu wakati wowote kuanziamuda huo atatangaza kuonfoka CHADEMA. Sahizi kakaa kimya!! Hiki walchokifanya Mbowe na Lisu ni jibu zuri sana kwa wanafiki na machawa ya CCM.
 
Maandalizi ya CCM katika kushinda uchaguzi ni huo wizi uliosimamiwa na Bashe, wa kutafuta pesa kupitia ufisadi wa kwenye biashara ya sukari.
Bashe kaumbuka - ni kibaka hana uchungu na Tanganyika ni walewale wanao idalali Tanganyika.

Asante Mpina kwa uzalendo wako.
 
Back
Top Bottom