Karatu: CCM yakata Tamaa, yakubali kuachia Jimbo, Chopa ya Chadema yatikisa

Pia John Mnyika na Ezekiel Wenje wako mkoani Geita kuuwasha moto . Ezekiel Wenje amesema " Suala la kuiondoa ccm madarakani ni suala la dharula ( emergency) . Wakati ni sasa ." Wananchi tuanze na uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024, tuwaondoe ccm wote halafu tumalize kazi 2025 .

Mwenyezi-Mungu azibariki kazi za Chadema katika kuwakomboa watanzania.
 
Waliokuwa wanasubiri Lissu na Mbowe watifuane kisiasa wataishia kuumwa na mbu kwenye ngoko zao huku kunakucha.
Tulishawapuuza kitambo sana kwa sababu tulijua watadhalilika muda si mrefu
 
Lissu akiwa na Mbowe havai magwanda,Lissu kapania sana na anaaminiwa na wanachadema walio wengi
 
How i wish walau upinzani ushike nchi japo Mara moja Ila sasa chama cha kijani kimenogewa hakitoi Pasi kiko tayari hata kupata goli kwa kutumia mkono ili waendeleee kuwepo
 
How i wish walau upinzani ushike nchi japo Mara moja Ila sasa chama cha kijani kimenogewa hakitoi Pasi kiko tayari hata kupata goli kwa kutumia mkono ili waendeleee kuwepo
enzi hizo zimekwisha
 
enzi hizo zimekwisha
Unadhan wataruhusu?? Utazuiaje wizi wa kura?? Hakuna asiyeichoka kijani Ila sasa kuitoa ndo shida. Kama lowasa hakupewa hiyo nafasi nani wa kuipata hiyo nafasi?
 
Sera za maandamano zimeishia wapi?
 
kesheni mkirusha huyo nzige wenu wa chuma angani

wanakaratu si wajinga ruzuku zitawatokea puani msimu huu wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…