Karatu: CCM yakata Tamaa, yakubali kuachia Jimbo, Chopa ya Chadema yatikisa

Hilo jimbo la karatu linawatu wanaofuatilia siasa haswa nafikiri kuliko majimbo yote Tanzania , hata ukienda mashuleni na vyuoni viongozi wengi ni wa jamii ya watu wa huko.
Siasa ni maisha
 
Watawachagua kwenye Nini, kwani Kuna uchaguzi hapa Tanzania, au kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
Nyie Chadema bhana 😂 sasa c mbaki nyumbani, mnahangaika nn na kuelekea uchaguzi?
 
Unataka tujadili chopa?? Tupe video tusikie wamezungumza nini!! Chopa chopa chopaaa ni usafiri tu wa kawaida
 
Ngoja tuone hapo baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…