Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
RPC wa arusha anajielewa na anaogopa mkono wa Mungu uliemkuta Shania
Thubutu, janja hiyo ili asisalimie watu njiani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RPC wa arusha anajielewa na anaogopa mkono wa Mungu uliemkuta Shania
Hili nimeliona hata Mimi.Kwani wanakimbilia wapi na hiyo spidi, kwanini Magufuli nae wasimkimbize hivyo hivyo?
Hiyo ni janja ya polisi na chama chakavu kumzuia Lissu asiwasalimie watu njiani, mbona Magufuli anasimama kila anapotaka?
Huu ujanja wao wa kizamani safari hii hautawasaidia, watanzania wameshaamua kwa umoja wao mwaka huu #ni yeye
Mambo ya kukimbia hovyo kwenye nchi tunayohubiriwa ni ya amani kila siku yamepitwa na wakati.
Hivi karatu si ndio toka uchaguzi wa vyama vingi umeaza mwaka 95 hawajawahi kuichagua ccmNawaamini hao watu wa karatu...hawajawahi kusaliti ukombozi, mwamko ulipo hapo siyo wa kawaida....
Mambo kama haya ndiyo yanawasumbua Tumeccm
Tuletee na za mrema, Uchaguzi huu hakuna kuiba kura, Hizo mliiba kura kwa na wagombea wote walikua goigoi sasa huyu si yule wa kusema nimemamwachia Mungu.Lisu bado mtoto mdogo sana yuleView attachment 1584826
Mbona siku ile mbagala alisema andamaneni ili wagombea wenu warudishwe na hakuna hata nzi aliandamana? Au hamkumuelewa?Tuletee na za mrema, Uchaguzi huu hakuna kuiba kura, Hizo mliiba kura kwa na wagombea wote walikua goigoi sasa huyu si yule wa kusema nimemamwachia Mungu.
Jomoni wewe binti lowassa wewe.Jaribu kuzoom hiyo picha ya kwanza muelewe nini maana ya kuchakachua. Tafadhali naomba mzoom
Lisu bado ni mtoto mdogo sana! Kwenye huu uchaguzi Magu ka relax kama hakuna kitu vileLissu gooooo mwanakwetu. Yule Mporipori mwenye roho ya kichawi anajuta kukabiliana na mtu aliyeamka kutoka usingizi wa mauti, ambaye pengine alipata kuzungumza na malaika katikati ya usingizi huo.
Lissu is our God-given right candidate!
Hapo Lissu kwani anahutubia mkutano? Si alikuwa anafanya kupita tu? Subiri wiki ijayo atakapokuja kupiga mkutano hapo karatu!Slaa wa 2010 huyu hapa. Tazama kisha niambie huyo Lisu wako anaingia mara ngapi hapo? View attachment 1584828View attachment 1584829View attachment 1584830
Huyu mwamba alimchapa magu 2015,eti akamwachia Mungu,alafu akaenda kulalamika kwa TB Joshua kuwa kaibiwa kura,mwaka huu tunampumzisha Mungu .Lisu bado ni mtoto mdogo sana! Kwenye huu uchaguzi Magu ka relax kama hakuna kitu vile
Ona hili vumbi hapa kisha kinganisha na huyo dagaa wenuView attachment 1584885
Weka sasa mafuriko kama hayo ya Slaa alikopita lisu akihutubiaHapo Lissu kwani anahutubia mkutano? Si alikuwa anafanya kupita tu? Subiri wiki ijayo atakapokuja kupiga mkutano hapo karatu!
Mbona siku ile mbagala alisema andamaneni ili wagombea wenu warudishwe na hakuna hata nzi aliandamana? Au hamkumuelewa?
Kwanza Lisu hana kura za kuiba sasa ataibiwa hewa?
Kwa takwimu zipi alimchapa Magu?Huyu mwamba alimchapa magu 2015,eti akamwachia Mungu,alafu akaenda kulalamika kwa TB Joshua kuwa kaibiwa kura,mwaka huu tunampumzisha Mungu .
People like Polepole who spent most of their time explaining what they have done mean they have done nothing. Development is something which can be seen is not invisible. They are something wrong with this regime i pray day and night for the change cos is only thing we need nowJaribu kuzoom hiyo picha ya kwanza muelewe nini maana ya kuchakachua. Tafadhali naomba mzoom
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PoleWewe tulia tarehe 28 mwezi ujao Tutapomrudisha magufuli chato ndio uonge.
Kama hata magufuli wao hizi nyomi zinamuumiza, sasa fikiria hawa chama kama polepole watakuwa na hali ganiKama ni za kuchakachua wasiwasi wenu nini basi?
Kwa nini kuwashwawashwa hivyo hali picha zenyewe za kuchakachuliwa?
Mmeshindwa hata kunywa maji!
Hata Lissu siyo huyu. Tunayemwona ni wa kuchakachuliwa.
Hizo picha za Slaa na Lowassa ulizoweka unakosea comred. Hiyo ya Slaa kwanza ni mkutano wa kawaida akiwa Mbeya mjini kwa operation ya M4C. Hiyo ya Lowassa ni kampeni za urais mwaka 2015 Mbeya mjini. In short Mbeya mjini haijawahi kubadilika hata alipoenda Lissu.Weka sasa mafuriko kama hayo ya Slaa alikopita lisu akihutubia
Kuuma wanasaccos si unajua mimi ni kunguni?karatu umeenda kufanya nini wewe kunguni
Nyingine hizi hapa za leo alipokuwa anaingia MbeyaHizo picha za Slaa na Lowassa ulizoweka unakosea comred. Hiyo ya Slaa kwanza ni mkutano wa kawaida akiwa Mbeya mjini kwa operation ya M4C. Hiyo ya Lowassa ni kampeni za urais mwaka 2015 Mbeya mjini. In short Mbeya mjini haijawahi kubadilika hata alipoenda Lissu.
Ila tazama sasa Lissu kila jimbo akipita ni balaa. Tukubali tu kuwa Magufuli kujiweka mbali na mambo ya wananchi ya kimaisha kunamgharimu na hata yeye anajua hilo. Tuache siasa za kujifariji!