Uchaguzi 2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

Hili nimeliona hata Mimi.
 
Lissu gooooo mwanakwetu. Yule Mporipori mwenye roho ya kichawi anajuta kukabiliana na mtu aliyeamka kutoka usingizi wa mauti, ambaye pengine alipata kuzungumza na malaika katikati ya usingizi huo.

Lissu is our God-given right candidate!
 
Nawaamini hao watu wa karatu...hawajawahi kusaliti ukombozi, mwamko ulipo hapo siyo wa kawaida....

Mambo kama haya ndiyo yanawasumbua Tumeccm
Hivi karatu si ndio toka uchaguzi wa vyama vingi umeaza mwaka 95 hawajawahi kuichagua ccm
 
Reactions: SIM
Tuletee na za mrema, Uchaguzi huu hakuna kuiba kura, Hizo mliiba kura kwa na wagombea wote walikua goigoi sasa huyu si yule wa kusema nimemamwachia Mungu.
Mbona siku ile mbagala alisema andamaneni ili wagombea wenu warudishwe na hakuna hata nzi aliandamana? Au hamkumuelewa?

Kwanza Lisu hana kura za kuiba sasa ataibiwa hewa?
 
Lissu gooooo mwanakwetu. Yule Mporipori mwenye roho ya kichawi anajuta kukabiliana na mtu aliyeamka kutoka usingizi wa mauti, ambaye pengine alipata kuzungumza na malaika katikati ya usingizi huo.

Lissu is our God-given right candidate!
Lisu bado ni mtoto mdogo sana! Kwenye huu uchaguzi Magu ka relax kama hakuna kitu vile

Ona hili vumbi hapa kisha kinganisha na huyo dagaa wenu
 
Lisu bado ni mtoto mdogo sana! Kwenye huu uchaguzi Magu ka relax kama hakuna kitu vile

Ona hili vumbi hapa kisha kinganisha na huyo dagaa wenuView attachment 1584885
Huyu mwamba alimchapa magu 2015,eti akamwachia Mungu,alafu akaenda kulalamika kwa TB Joshua kuwa kaibiwa kura,mwaka huu tunampumzisha Mungu .
 
Hapo Lissu kwani anahutubia mkutano? Si alikuwa anafanya kupita tu? Subiri wiki ijayo atakapokuja kupiga mkutano hapo karatu!
Weka sasa mafuriko kama hayo ya Slaa alikopita lisu akihutubia
 
Wewe tulia tarehe 28 mwezi ujao Tutapomrudisha magufuli chato ndio uonge.
Mbona siku ile mbagala alisema andamaneni ili wagombea wenu warudishwe na hakuna hata nzi aliandamana? Au hamkumuelewa?

Kwanza Lisu hana kura za kuiba sasa ataibiwa hewa?
 
Jaribu kuzoom hiyo picha ya kwanza muelewe nini maana ya kuchakachua. Tafadhali naomba mzoom
People like Polepole who spent most of their time explaining what they have done mean they have done nothing. Development is something which can be seen is not invisible. They are something wrong with this regime i pray day and night for the change cos is only thing we need now
 
Kama ni za kuchakachua wasiwasi wenu nini basi?

Kwa nini kuwashwawashwa hivyo hali picha zenyewe za kuchakachuliwa?

Mmeshindwa hata kunywa maji!

Hata Lissu siyo huyu. Tunayemwona ni wa kuchakachuliwa.
Kama hata magufuli wao hizi nyomi zinamuumiza, sasa fikiria hawa chama kama polepole watakuwa na hali gani
 
Weka sasa mafuriko kama hayo ya Slaa alikopita lisu akihutubia
Hizo picha za Slaa na Lowassa ulizoweka unakosea comred. Hiyo ya Slaa kwanza ni mkutano wa kawaida akiwa Mbeya mjini kwa operation ya M4C. Hiyo ya Lowassa ni kampeni za urais mwaka 2015 Mbeya mjini. In short Mbeya mjini haijawahi kubadilika hata alipoenda Lissu.

Ila tazama sasa Lissu kila jimbo akipita ni balaa. Tukubali tu kuwa Magufuli kujiweka mbali na mambo ya wananchi ya kimaisha kunamgharimu na hata yeye anajua hilo. Tuache siasa za kujifariji!
 
Lissu kiboko ya fisadi jiwe
#LissuForPresident2020
 
Your browser is not able to display this video.

Nyingine hizi hapa za leo alipokuwa anaingia Mbeya
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…