Uchaguzi 2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

Unataka tuweke picha za Slaa za kila mkoa wakati anapiga kampeni 2010?

Lisu ni kidagaa tu mbele ya hiyo miamba 2 Lowasa na Slaa.
Subiri oktoba utapata jibu
 
Jaribu kuzoom hiyo picha ya kwanza muelewe nini maana ya kuchakachua. Tafadhali naomba mzoom

Maboya wenzako walikuwa wanasema mwanzo hamna nyomi, ila nyomi sasa ni dhahiri, wamebadili kauli wanasema nyomi kweli ipo, ila hawajajiandikisha kupiga kura! Ww ndio bado hujaupdate propaganda ya kuwa hamna nyomi.
 
Unataka tuweke picha za Slaa za kila mkoa wakati anapiga kampeni 2010?

Lisu ni kidagaa tu mbele ya hiyo miamba 2 Lowasa na Slaa.
Subiri oktoba utapata jibu

Acha za 2010, changanya na za 2015, ila chaguzi zote hizo propaganda mfu hazikuwa zinaonyesha upinzani umekufa. Wakati huo hakukuwa na mgombea urais mungu mtu kama sasa, na haikuwa marufuku kufanya siasa. Wagombea wote wa ccm wakati huo hawakuwa wamenunua ndege, kujenga reli au bwawa. Safari hii mgombea wa sasa wa ccm, ukiacha kutumia kundi la watu wasiojulikana na kufanya siasa zote chafu dhidi ya upinzani, lakini anachukuliwa kama mungu mtu na wapambe wake. Na amesadikishwa kuwa kaua upinzani kisa ni mzalendo. Mbona kinachoonekana hapo sio tulichoaminishwa kwenye zile propaganda mfu?
 
Bodyguard mnao mnao mlinda lisu muwe makini sana kwenye kipindi hiki cha lala salama, kuna kila dalili za watu wabaya kutaka kumuhujumu lisu

Lkn najua kitengo cha usalama chadema kipo vizuri na wale vijana ambao mmewapandikiza huko ccm wanafanya kazi nzuri ya kutegua mitego yae

Waendelee tu kuwa wasiri mpaka mission itakapokwisha na lisu kuwa rais wa jmt.
 
Kwahiyo hapa Lisu amewazidi wote na atashinda?
 

Jane my love [emoji7]
Thank you sir!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌✌✌πŸ’₯
Sasa kama mayanga anachukua tenda zote wao watapataje?
..yapo maeneo wananchi wanapigia vyama tofauti kura za uraisi, ubunge, na udiwani.

..hii habari ya kusema chadema na act wanawachanganya wananchi ni uzushi tu.
jiwe Tulia dawa iingie lissu anakudunga sindano za farasi
 
mwisho wa siku kura ndo zitaongea iwe ulikua na nyomia au hukua nalo mtashangaa pale rungwe atakapo shika hatam
Jamaa wanasema mwaka huu hawakubali kuibiwa tena,wamejipanga kulinda kura zao,hali kadhalika cc m nao wamejipanga kuiba kura,so ngoma droo mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…