Uchaguzi 2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

Na hapo alikuwa anapita tu njiani... Mwezi WA kumi naona nchi itatikisika....mikoa yote iliyosalia mwendo Ni huu na zaidi... Hii hali inatia hamasa na kahamisha Sana hata waliokata tamaa watajitokeza kwa wingi kupiga kura
 
Kwanza mnayo hiyo hela ya kuwalipa TBC wawaonyeshe live? Jana Iringa waliojaa pale ni wanafunzi na watoto?
ficha upeo finyu wa akili yako, kwa hoja hizi mnazidi kumdidimiza JPM
 
Leo lissu kashindwa kufanya mikutano Arusha na Hai mmeamua kuja na picha ya kuchakachua
Hujawai kuwa na akili huwezi chochote una watoto watatu wote umewapata kwa chupa za wachina so hatuwezi kukushangaa wewr ni jinga jinga kweli wacha GSM waendelee kukurumisha
 
ficha upeo finyu wa akili yako, kwa hoja hizi mnazidi kumdidimiza JPM
Tunamdidimiza wapi? Kila alilofanya JPM kila mtanzania mwenye akili analiona, nyinyi wenye akili fupi ndo hamuoni. Ndo maana hatuhitaji kupiga porojo kama nyinyi, uchaguzi huu tunakamilisha tu haki ya kidemokrasia lakini mshindi ameshajulikana.
 
Wilaya ya Karatu ipo katika mkoa wa Arusha na sio Manyara. Mods au mleta mada fanyeni kuedit
 
Tunamdidimiza wapi? Kila alilofanya JPM kila mtanzania mwenye akili analiona, nyinyi wenye akili fupi ndo hamuoni. Ndo maana hatuhitaji kupiga porojo kama nyinyi, uchaguzi huu tunakamilisha tu haki ya kidemokrasia lakini mshindi ameshajulikana.
ok, ila hoja hupima akili ya mtu, hivyo wakati mwingine jibu hoja kwa kutumia akili na siyo makama.si
 
tunataka mabadiliko
 
ok, ila hoja hupima akili ya mtu, hivyo wakati mwingine jibu hoja kwa kutumia akili na siyo makama.si
Hoja ipi nimejibu ambayo sikutumia akili? Akili kubwa inawezaje kushindana na akili ndogo? Yaani mlete hoja za kipuuzi halafu mtegemee kujibiwa kwa hoja za maana.
 
Leo nimeamini kumbe picha mnategeneza! Nilikuwepo Karatu hakuna umati wa watu kama hawa sanasana kulikuwa na waendesha pikipiki wanapita mitaani kweli nyinyi ni kiboko kwa kuedit picha. Nilikuwa nasikia tu kuwa huwa mnatengeneza picha leo nimehakikisha mwenyewe!
 
Nimenyoosha mikono mnajua kuedit picha. Nilikuwepo Karatu hakuna watu wengi hivyo! Kweli Magufuli ameshashinda anasubiri kuapishwa. Karatu nilikuwepo hakuna watu kama hao wewe muongo mkubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…