Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuzoom hiyo picha ya kwanza muelewe nini maana ya kuchakachua. Tafadhali naomba mzoom
Kwa comment yako hii tu, unaweza kupata uteuzi kutoka kwa JPM!Jaribu kuzoom hiyo picha ya kwanza muelewe nini maana ya kuchakachua. Tafadhali naomba mzoom
Siyo babake!! Huyu amebaka jina la wenyewe na analinajisi sana!Na baba ako angegombea ubunge mwaka huu tusingempa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umetisha kwa umbeaDuh, ngoja niiname upepo huu upite maana ni kimbunga sasa
Jaribu kuzoom hiyo picha ya kwanza muelewe nini maana ya kuchakachua. Tafadhali naomba mzoom
Sema kingine JanethiJaribu kuzoom hiyo picha ya kwanza muelewe nini maana ya kuchakachua. Tafadhali naomba mzoom
Kwanini unamfokea jamaa? Fanya wewe hizo hesabu kwa sababu hujasoma history, utuwekee hapa!Hawezi kusuffer heart attack ,kama ww ambaye huna ufahamu wa mathematics. Katika watu waliohudhuria ni1.Wangapi watapiga kura?2.Wangapi wamejiandikisha?3.Wangapi ,watapigia cdm?Kuwa na mahesabu mkononi,kwa kuwa hizi no issue za hesabu tu.Kama ulisoma history ndio matatizo ya kudai wot e no wapiga kura was cdm.
"KARATUHuyu Lissuuuuu ni hatariiiiiii
Leo tar. 29 Sept. LISU si alitakiwa aje ajieleze kwenye ofisi za NEC.
Inamaana amekaidi wito wa mwenyekiti wa Tume?. Aje ajieleze kwa nini ana wafuasi wengi hivi kuliko Lipumba.
utakufa wewe uchaguzi huu siyo lissuKumzuia huyu msaliti wangemuua maana habari zake sizpend huyu nyambafu naatashndwa tu
Uzuri mikutano ya CCM yote inarushwa live kila mtu anaiona. Kwahiyo ukitaka kuleta propaganda zako hapa unaonekana tu hayawani. CCM nyomi kwao siyo issue kwasbb imezoeleka kila mkutano watu wanajaa, wao wanafocus kwenye kura.johnthebaptist awe na picha kama hizi asiziweke? Sema zimejumuisha na watoto wa shule anaona aibu kuzileta
Hao jamaa komesha. Tangu enzi za Nyerere hawaburuzwiNawaamini hao watu wa karatu...hawajawahi kusaliti ukombozi, mwamko ulipo hapo siyo wa kawaida....
Mambo kama haya ndiyo yanawasumbua Tumeccm
Kwamba?!Lema anataka kuuza jimbo