Uchaguzi 2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

Uchaguzi 2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

Kama ni za kuchakachua wasiwasi wenu nini basi?

Kwa nini kuwashwawashwa hivyo hali picha zenyewe za kuchakachuliwa?

Mmeshindwa hata kunywa maji!

Hata Lissu siyo huyu. Tunayemwona ni wa kuchakachua.
Wewe ndio bure kabisa!

Bora urudi tu uendelee na ngonjera zako za corona
 
Karatu imesimama muda huu na habari ni Tundu Lissu

Picha: Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano kupitia CHADEMA akipita Karatu kuelekea wilayani Hai ambapo atakuwa na mkutano wa kampeni kesho. Umati mkubwa wa watu unejitokeza barababrani kumsalimu huku akitarajiwa kurejea Karatu siku za baadaye kwa mkutano wa kampeni.
View attachment 1584481

View attachment 1584489

View attachment 1584502
Wauweeeeee!! Huyo ndo Tundu Antiphas Lissu!!

Mungu Mlinde na mbariki mja wako Tundu Antiphas Lissu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lisu wako haingii hata mara moja kwa nyomi la Slaa 2010 achilia mbali la Lowasa 2015.

Nyie mmeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kurudi kutoka kwa beberu wake Amsterdam
Weka hapa hayo manyomi. Hapo wala hatoi hotuba bali anaenda zake Hai kwa kimbunga kingine.
 
Jaribu kuzoom hiyo picha ya kwanza muelewe nini maana ya kuchakachua. Tafadhali naomba mzoom
Hakuna haja ya kuzoom,shimo lipo wazi.Mnawapa Watanzania hasira zaidi kwa kusingizia kuwa picha zimechakachuliwa,hiyo kazi ni CCM ndiyo mahiri wa hiyo.Hiyo nyomi ni Real!
 
IMG_9530.jpg

IMG_9529.jpg

IMG_9528.jpg

IMG_9527.jpg

IMG_9526.jpg
 
Karatu imesimama muda huu na habari ni Tundu Lissu

Picha: Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano kupitia CHADEMA akipita Karatu kuelekea wilayani Hai ambapo atakuwa na mkutano wa kampeni kesho. Umati mkubwa wa watu unejitokeza barababrani kumsalimu huku akitarajiwa kurejea Karatu siku za baadaye kwa mkutano wa kampeni.
View attachment 1584481

View attachment 1584489

View attachment 1584502

Wana JF wenzangu wakubwa kwa wadogo, kuna kitu kinaitwa Environmental research, utafiti wa kimazingira. Watu wanaoishi na makada wa ccm wamethibitisha hali hii ambayo haijawahi kutokea ndani ya chama cha mapinduzi, kuwa takribani kila kada wa ccm ndani ya dakika tano anamfikiria Tundu Lissu eidha kwa mabaya au mema.

Hakuna hata kada yoyote wa ccm ambaye ameweza kukaa kwa muda mrefu bila kumuwazi Tundu Lissu. Mjomba wangu ambaye ni kada maarufu na mfia ccm amedai kuwa Tundu Lissu anamsababishia presha maana akimuwazia tu moyo unashituka, hivyo anamkosesha raha maana ana wasi wasi na jinsi anavyoungwa mkono na watu wengi. Mbaya zaidi ni pale anapoona baadhi ya makada wenzake kumuongelea vizuri kwamba Tundu Lissu ni msafi na ndiye anayemkabili Mh. Magu vilivyo.

Baba yangu mdogo yeye ni kada mtiifu wa CCM lakini wanatofautiana sana na mjomba wangu kwa kumuwaza Lissu kila mara kama mkombozi na mwenye uthubutu wa kumsema Mh.Magu bila kuogopa, maana baba mdogo anasema kuwa Magu anafanya kazi vizuri lakini ana kauli na kiburi cha kufikiri yeye ndio mtanzania anayejua mambo yote kuliko wengine na mwenye uchungu kuliko wote kitu ambacho anasema siyo kweli. Jambo lingine baba mdogo anasema ndani ya ccm wapo watu wengi ambao wanampenda Lissu kwa sababu hana tuhuma halafu amekuwa akitetea rasilimali na wananchi siku zote. Utafiti wa kimazingira umeonyesha makada wa ccm wanamuwazia Lissu sana kila baada ya 1-5 hadi tano lazima wafanye hivyo.

Hitimisho ni kwamba hakuna aliyetarajia ndani ya chama cha mapinduzi kama angetokea mtu yeyote katika uchaguzi huu ambaye angeweza kuleta changamoto kama Lissu anavyofanya leo. Kila mmoja alitarajia kuwa ccm isingeweza kutumia nguvu kubwa kunadi mgombea wao, ila mambo yamekuwa tofauti na matarajio. Hali ilivyo sasa inatisha maana kuna wasi wasi kwamba Lissu anaweza kuchukua nchi ndio maana imeanza kutumika nguvu kubwa ya vyombo vya dola na tume ya uchaguzi. Kumbuka mwanzoni mwa kampeni, mgombea wa Urais ccm alidai picha za mafuriko ya Lissu ni za 2015, makada wengine wakasema ni zakuedit, leo wanadai wanaofurika kwa Lissu siyo wapiga kura maana hawajaandikishwa. Lissu makada wa ccm wanakuwaza sana.
 
Wauweeeeee!! Huyo ndo Tundu Antiphas Lissu!!

Mungu Mlinde na mbariki mja wako Tundu Antiphas Lissu

Hakika inapendeza!!!
Kwa miaka 5 yote imekuwa ni maumivu tupu kwa Watz. Hizi ni salaam tosha kwa Watawala na Madikteta Uchwara wa CCM kwamba WATZ WAMECHOKA WANATAKA MABADILIKO!
 
Kitu kimoja nimekipenda kuhusu Karatu ni mitazamo yao isiyotetereka ya kuleta mabadiliko. Hata mji wao haujachafuliwa (uchafuzi wa mazingira) na mabango ya kijani hadi kwenye nguzo za taa kama ilivyo miji mimgine ya Tz.
 
Back
Top Bottom