Uchaguzi 2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

Uchaguzi 2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

Hawezi kusuffer heart attack ,kama ww ambaye huna ufahamu wa mathematics. Katika watu waliohudhuria ni1.Wangapi watapiga kura?2.Wangapi wamejiandikisha?3.Wangapi ,watapigia cdm?Kuwa na mahesabu mkononi,kwa kuwa hizi no issue za hesabu tu.Kama ulisoma history ndio matatizo ya kudai wot e no wapiga kura was cdm.
Na nyie mliojenga zahanati, vituo vya afya na hospitali halafu hamnunui dawa ndo wenye hesabu?
 
Daah hakika ni Karatu hapo... hometown raia wapo moto sana hatutaki kuelewa kuhusu kijani kutoka 95 mpaka leo ni nyekundu bluu nyeupe na nyeusi✌️✌️
 
Nawaamini hao watu wa karatu...hawajawahi kusaliti ukombozi, mwamko ulipo hapo siyo wa kawaida....

Mambo kama haya ndiyo yanawasumbua Tumeccm
Hao jamaa wa pande hizo ni noma sana kwa ubishi, hata kabla mfumo wa vyama vingi walikua wanachagua kivuli badala ya CCM kwny uchaguzi.
 
Na hapo hakuna cha wasanii wala fiesta zao.

Twende Lissu muda ni mchache tumechelewa sana .

Tunahitaji Haki ,Uhuru na Maendeleo ya Watu.
Ameyahakikishia MATAGA kuwa nayo yatapata haki zao. Hii ni movement ya haki kwa kila anayeita Tz nchi yake. Tunafahamu MATAGA yanavyolazimishwa kusujudia mungu-mtu na yanafanya kwa shingo upande alimradi watoto waweze kwenda shule. Sasa wakati wa ukombozi kwa kila mTz umewadia, jiunge na movement na utaishi kwa uhuru na haki.
 
Hawezi kusuffer heart attack ,kama ww ambaye huna ufahamu wa mathematics. Katika watu waliohudhuria ni1.Wangapi watapiga kura?2.Wangapi wamejiandikisha?3.Wangapi ,watapigia cdm?Kuwa na mahesabu mkononi,kwa kuwa hizi no issue za hesabu tu.Kama ulisoma history ndio matatizo ya kudai wot e no wapiga kura was cdm.
Kama hawana maana mbona mnawabeba kwa malori? Whatever the poor arguments you are putting forward, these numbers can predict something coming tomorrow if elections are free and fair! Mnawavisha wanafunzi sare and the like! Ndiyo maana mnapotea njia. Unawaua watu, unawafukuza vyeti, unawateka watu, unawanyima uhuru wooooote, halafu kesho unategemea wakupende! You must be nuts!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lisu wako haingii hata mara moja kwa nyomi la Slaa 2010 achilia mbali la Lowasa 2015.

Nyie mmeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kurudi kutoka kwa beberu wake Amsterdam
 
Karatu imesimama muda huu na habari ni Tundu Lissu

Picha: Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano kupitia CHADEMA akipita Karatu kuelekea wilayani Hai ambapo atakuwa na mkutano wa kampeni kesho. Umati mkubwa wa watu unejitokeza barababrani kumsalimu huku akitarajiwa kurejea Karatu siku za baadaye kwa mkutano wa kampeni.
View attachment 1584481

View attachment 1584489

View attachment 1584502
Jaribu kuzoom hiyo picha ya kwanza muelewe nini maana ya kuchakachua. Tafadhali naomba mzoom
Hamna haja ya kuzoom mimi mwenyewe nilikua hapo✌️✌️
 
Hawezi kusuffer heart attack ,kama ww ambaye huna ufahamu wa mathematics. Katika watu waliohudhuria ni1.Wangapi watapiga kura?2.Wangapi wamejiandikisha?3.Wangapi ,watapigia cdm?Kuwa na mahesabu mkononi,kwa kuwa hizi no issue za hesabu tu.Kama ulisoma history ndio matatizo ya kudai wot e no wapiga kura was cdm.
We dada umekuwaje tena au bado unasumbuliwa na tumbo
 
Ndiyo maana sishangai kuyaona maccm yakiosha

vyombo kujikomba, kuchagua michele na akina mama pia kusafisha miguu ya wanawake. Yanajua HAYAPENDWI!!!

CCM baba laoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom