Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KeepJaribu kuzoom hiyo picha ya kwanza muelewe nini maana ya kuchakachua. Tafadhali naomba mzoom
Hivi picha za magufuli zingekua zinatumwa humu kama nyinyi mnavyojishebedua si mngesema abaki ikulu asipige kampeni.Lissu asimamishwe kupiga kampeni zake , hii si sawa
johnthebaptist awe na picha kama hizi asiziweke? Sema zimejumuisha na watoto wa shule anaona aibu kuziletaHivi picha za magufuli zingekua zinatumwa humu kama nyinyi mnavyojishebedua si mngesema abaki ikulu asipige kampeni.
Haa haa nimecheka sanaHao jamaa wa pande hizo ni noma sana kwa ubishi, hata kabla mfumo wa vyama vingi walikua wanachagua kivuli badala ya CCM kwny uchaguzi.
Hesabu za wangapi wataoigia Chadema ni kwa Lisu tu ila kwa Magu hata wakisombwa wanafunzi wa Mkoa mzima kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne wakajaza uwanja hao ni wapiga kura, du! kazi ipo this time.We dada umekuwaje tena au bado unasumbuliwa na tumbo
Uamuzi wa tume ya uchaguzi kuipendelea kwa uwazi CCM, unampa Tundu Lissu kongole za ziada. Safari yake ya kuja ktk kamati ya maadili ya tume, inaonekana kama vile safari halisi ya ukombozi. Wananchi wanatambua ya kwamba maamuzi ya tume yana "double standards" kwa kuwa hayamgusi mgombea wa CCM, ambaye mara kwa mara anakiuka kanuni na maadili na kukaliwa kimya.Karatu imesimama muda huu na habari ni Tundu Lissu
Picha: Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano kupitia CHADEMA akipita Karatu kuelekea wilayani Hai ambapo atakuwa na mkutano wa kampeni kesho. Umati mkubwa wa watu unejitokeza barababrani kumsalimu huku akitarajiwa kurejea Karatu siku za baadaye kwa mkutano wa kampeni.
View attachment 1584481
View attachment 1584489
View attachment 1584502
Lema anataka kuuza jimbo
Uyu lisu uyu ni tatizo, hakuna wasanii hapo, hakuna malori hapo, vitoto vimezuiwa na walimu kwenda ktk mkutano, wafanyakazi hawajaandikiwa barua ya kushurutishwa kwenda hapo.Karatu imesimama muda huu na habari ni Tundu Lissu
Picha: Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano kupitia CHADEMA akipita Karatu kuelekea wilayani Hai ambapo atakuwa na mkutano wa kampeni kesho. Umati mkubwa wa watu unejitokeza barababrani kumsalimu huku akitarajiwa kurejea Karatu siku za baadaye kwa mkutano wa kampeni.
View attachment 1584481
View attachment 1584489
View attachment 1584502
Wewe jamaa mbona mpumbavu hivi? Unataka kuniambia Tanzania nzima wewe ndio ulikuwepo 2010 na 2015?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lisu wako haingii hata mara moja kwa nyomi la Slaa 2010 achilia mbali la Lowasa 2015.
Nyie mmeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kurudi kutoka kwa beberu wake Amsterdam