Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Dokta feki wa NEC akiona hii anachanganyikiwaWatawala, kaeni mkijua wananchi mmechoka. Mnayoyafanya ni kuwatia wananchi hasira na kumpandisha Lissu. Polisi, Tiss, Tume ya Uchaguzi, na Msajili. Rudini kwa wananchi kabla ya muda kuisha. Mtajuta sana kwa madhambi yenu maana mwaka huu hakuna kuiba kura
Siku ya kufa kwa nyani kila mtu unateleza. CCM yangu naichinja rasmi kutokana na manyanyaso niliyoyapata chini ya CCM, Polisi na Magufuli...
Hiyo yomi ni ya 1925.....lol