Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

Sasa mbona Ramadhan Dau aliitwa mdini?

Au tatizo ni Uislamu?

Tukianza kuleta duwa za masheikh kwenye ofisi za umma mtulie hivyohivyo na duwa tamu tutaleta na madufu ya watoto wa madrasa.

Cc: Mohamed Said
Exactly! Walio na umri wanakumbuka haya mawili, la Kighoma Malima na Ramadhani Dau.

Hoja likuwa ni kwamba shughuli za imani zifanyike katika public office

Tukianza kuombeana maofisini tutafungua 'can of worms', tayari tuna mifano kwanini tudhani hili ni sawa?

Pascal Mayalla anachosema ni kwamba hili jambo ni sawa sawa kwasababu serikali haina dini ila watu wake wana dini. Yupo sahihi kabisa lakini hajaangalia hoja kwa madhara ya muda mrefu.

Taratibu tutasikia sheikh mkuu akimuombea Katibu Wizara X Ofisini, halafu askofu wa KKKT akimuombea RAS wake katika Mkoa X, huku tutasikia kuna maombi Ikulu kwa Waanglikana hapo bado akina Gwajima hawajaingi , Mwamposa n.k.
 
Si tuliambiwa vya kwake vya kidato vcha nne vina FaFaFa au! lakini itoshe kusema uongozi siyo vyeti, ni karama na kipaji.
Sasa kama huna elimu na level ya uongozi itakuwa chini, kama labda akipewa ukatibu kata au tarafa huyo mtu wenu sawa tu

Lakini siyo level kubwa inayohitaji akili

Usisahau Hata ndani ya kundi la wapumbavu na wajinga Kuna viongozi na watu wanao jiamini
 
Angekwenda kumuombea yule aliyetangaza ndoa za mashoga kwenye lile kanisa linalojiita la kwanza duniani.
 

Sio Kadinali tena ni mstaafu. Usimpe Cheo ambacho hana. Kaninali Chawa tunashukuru hayupo tena
 
Wewe chawa unaposema Pengo atua ofisini kwa Makonda una maana huyu mzee alipaa kwa ungo ndiyo akatua hapo au vipi?
 
Sasa mbona Ramadhan Dau aliitwa mdini?

Au tatizo ni Uislamu?

Tukianza kuleta duwa za masheikh kwenye ofisi za umma mtulie hivyohivyo na duwa tamu tutaleta na madufu ya watoto wa madrasa.

Cc: Mohamed Said
Dr....
Nimerejea kwako.

Nimekuitika na kuandika historia ya TANU ilivyofungamana na dini.

Soma majibu ya post yangu.
Yametoka matusi.

Huna la kusema?

Mimi nikishaona mtu anatukana basi humwepuka kabisa.

Sijibu matusi.
Humnyamazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…