Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

Endelea kuweweseka tu na kuropoka ropoka tu.
 
Makonda anawatumia viongozi wa dini kwa dhamira chafu, sawa na anavyowatumia watu uelewa na upeo mdogo kama akina Mwashambwa. Lakini hawezi kufanikiwa.
Acha kuwadhalilisha viongozi wetu wa Dini kwa kuwachukulia ni wajinga kama ulivyo wewe na ujinga wako.
 
Namba wapi??
 
Serikali ya Tanzania na taifa kwa ujumla halina dini rasmi, Ila wananchi wana Imani zao.
Kwa hiyo, RC Makonda ana haki ya msingi kabisa ya kuamini na kuabudu.
Je tukio la maombi ni la kiserikali au kiofisi?
Hayo siyo mambo yake binafsi na Kadinali Pengo au kanisa?
Kuingilia shughuli zake za Imani siyo sawa na hatendewi haki.
 
Wewe unaleta provocation.
Makonda alipofika Arusha,ajali za gari zimeongezeka; mafuriko yamekuwa balaa, kwanini viongozi wa dini wasiende kumuombea?

(Jambo zuri,sijaona crime kuongezeka).
 
Hawa si ndo wanasema kuwabariki mashoga ruksa nani anawaamini Hawa mashetani

Pengo na makonda wote wapuuzi tu
 
Acha wivu wako wewe. Mmeanza kuweweseka kama kawaida yenu machadema
Labda nikukumbushe
Kighoma Malima (RIP) alituhumiwa kutumia Ofisi kusali
Mapambo ya Christmas katika Ofisi za Umma yalilalamikiwa na Waislam

Hatuwezi kurudi nyuma katika mambo yanayoleta matatizo.
Itakapoanza watu kuombewa ndani ya Oifisi za Umma tutapoteza maana ya kiongozi kwasababu ataangaliwa kwa alichofanyiwa.

Ni hatari ambayo wenye akili na busara wataiona, wachumia tumbo na chawa hawawezi

Makonda angemkaribisha Hotelini au nyumbani au popote si kwenye Ofisi ya Umma.

Uwepo wake pale ni utumishi wa Umma mambo binafsi ya Imani hayahusiani na Ofisi yake.

Hakuna anayemkataza kuombewa, in fact anapaswa kuombewa kwa mikono yake michafu.

Nafsi inamsuta! anazisikia sauti. inamtesa anahitaji maombi lakini si ndani ya Ofisi ya Umma

Rais SSH ukiliacha hili bila kulikemea unapanda mbegu mbaya.

Ofisi za Umma ni sehemu zisizo na imani ingawa wanaozidumia wana imani zao. Hii ndio hoja iliyosababisha Maofisi kutopambwa katika sherehe . Hii ni mbegu mbaya, Mwalimu Nyerere asingeivumilia hata saa moja.

Muadhamana Kadinali Pengo natamani ungefanya tofauti. Kama una watu wako hapa JF tafadhali mfikishieni salam. Mwambieni mzee ombe radhi

Heshima yako ni kubwa , mambo kama haya yanakuchafua! Hili si la Ofisi za Umma

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Balance story.
Akienda kwa waganga wa kienyeji utuletee habari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…