Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

Nchi hata kutoa makaratasi magumu yanaitwa vitambulisho vya taifa haiwezi, sembuse kuendesha bandari.
Ushindwe endesha mwendo kasi uje uguse kwenye bandari, hatuwezi kabisa kabisa.

Tatizo ni mkataba kufanyika haraka, kulazimisha, vitisho na kwa kificho
 
Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Angeuliza tu.

Hoja yake je ni kweli tumeishindwa kabisa kuindesha hio bandari.

Wakati tunaamuni Dp Wana uwezo why Kaa sisi tusijijengee huo uwezo halafu tukasimimia wenyewe. Why!?

Shida Nini mtaji!?, Usimamizi!? Mashine !?, Je serikali hii yenye kununua mashangingi na anasa za Kila aina Kila mwaka zile za MATUMIZI MENGINE inashindwa kuendesha bandari ni strictly way!?

Wengi tunahoji kwa muktadha huo hata ingetoka mars tungeuliza maana huwezi mpya mtu rasilimali muhimu kama bandari milele halafu ukawa umejifunga kwa mkataba kwa masharti kibao.

Hii nchi bhana inachosha sana
 
Shida ni ubinafsi hata Mimi nikipata nafasi nitaiba
 
"....najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe?! Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!"

" Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi."

Pengo.

Kanisa Katoliki TV.
Hili la bandari halitaisha leo Wala kesho
Hapa CCM wamelikoroga Bora hata issue za migodi na gesi ambapo wawekezaji ndio wenye technology ila hili la bandari tunauwezo wa Kununua mitambo na tukaendesha wenyewe
 
"....najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe?! Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!"

" Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi."

Pengo.

Kanisa Katoliki TV.
Bahati yake tuu Catholic is very strong la sivyo tungewapa hao Waajemi nayo waendeshe kanisa! Ametutokea wapi yeye adili na maadali ya mapadre wake kila siku wana kashfa za ngono ! Bandari inamhusu nini!
 
Ni muda wa kuangalia management companies au raia wa kigeni wenye sifa sahihi na kuwapa kazi za kusimamia taasisi zote za kibiashara zinazomilikiwa na serikali sio bandari tu.

Muhimu ni kuwekeana mikataba ya performance targets.

Juzi Suma JKT imezindua kituo chao mafuta kwa hakiba ya hela zao; kwa sababu hakuna ubadhirifu kama ilivyo kwenye taasisi za serikali.

Kwanini TPDC aina vituo vya mafuta kuwa mshindani ndani ya soko. Moja ya sababu ni kwamba mteja wake mkubwa wa gas hivi sasa ni TANESCO na Dangote. TANESCO toka wameanza kupewa gas na TPDC awajawahi lipa ata centi 5, gas ambayo wanatumia kufanyia biashara na juzi hilo deni la TPDC serikali wamelifuta.

Watu ambao wameshindwa kuwalipa taasisi ambayo inauwazia malighafi wanayozalishia, hapo hapo wameenda kuingia mkataba wa kununua umeme wa jua; kipindi ambacho watakuwa na uzalishaji wa ziada bwawa la Nyerere.

Nimewatolea mfano tu hao TANESCO lakini wote TTCL, ATCL, NHC, TPDC, TRC na ikiwezekana halmashauri kama kuna uwezo wa kuajiri wageni katika nafasi ya wakurugenzi iwe hivyo.

Ifike wakati tuambizane ukweli watanzania hasa wanaoteuliwa na serikali awawezi kazi; unahitajika utaratibu mwingine ukizingatia sector zingine zina multiplier effect kubwa ya uchumi kama bandari.

Serikali isiishie na bandari tu, waende mbele wenyeji awawezi kazi.
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Wao ndo wameshindwa....basi wapishe watanzania wengine wenye uwezo waendeshe
 
Nchi hata kutoa makaratasi magumu yanaitwa vitambulisho vya taifa haiwezi, sembuse kuendesha bandari.
Ushindwe endesha mwendo kasi uje uguse kwenye bandari, hatuwezi kabisa kabisa.

Tatizo ni mkataba kufanyika haraka, kulazimisha, vitisho na kwa kificho
Huo ndio ukweli ifike wakati tuukubali; watanzania wanahitaji kufundishwa kazi kwenye biashara na walioonyesha uwezo wao kwengine duniani.

Experimental zinatosha.
 
"....najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe?! Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!"

" Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi."

Pengo.

Kanisa Katoliki TV.
Kama wameshindwa kuendesha bandari wataweza kuendesha nchi?
 
Hadi viongozi wa dini wanaupinga huu mkataba ujue ni wa kihuni zaid na haufai.Shauri zenu watawala msiposikia sauti za wengi maana sauti za wengi ni ya Mungu.
Tatizo wa tz ni wezi sana wazee wa dili hiyo bandar humuwez endesha

Kazi kuibaa tu mizigo inakaa wiki
Leo mnajifanya kuendesha wapuuzi nyie

Pigen kelele bandar tushampa mwekezaji na hamtafanya chochote nenden mkashtaki popote

Kama umechukia kunywa sumu
Au hamieni Burundi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom