Deogratias Mutungi
Senior Member
- Oct 1, 2019
- 140
- 181
Why not sir?Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why not sir?Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Tatizo la Pengo ni kutokuaminika
Mutungi mkataba wako wa kiimani na nchi ya Vatican ni wa miaka mingapi! Kiana nyie Catholics mna Dual CitizenshipWhy not sir?
Ccm ndio kabisa maana sasa mnaturudisha Misri utumwaniChadema mnaaminika?
hii nchi ni kisiwa cha giza hakuna tunachoona kwa macho ya viongozi hatuna.It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Mwanga Mkali! MULIKA SASA TUJUE TUNAFANYEJE!!!hii nchi ni kisiwa cha giza hakuna tunachoona kwa macho ya viongozi hatuna.
Yes .ngoja washupaze shingoHuu upepo wa bandari lazima uondoke na mtu nawaambia, mtakao umia sana jiandaeni mkazikwe nae.
Jpm alifanyaje kwaniWakati wa JPM walikuwa kimyaa msituletee udini hapa hakuna dini yenye haki zaidi katika kuongoza hii nchi. Kwa JPM sikuwahi kusikia waraka wa wakatoliki
Yes .ngoja washupaze shingo
Je nao wangeandika mkataba wa hovyo kama huo usio kuwa na kikomo? Hivi ni kwanini viongozi wengine wanajificha hawatoki waziwazi kuzungumzia hili jambo au kujibu hoja mbalimbali yaani wapo kimya mpaka mjinga naye anastuka.Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Nani aondoke? hivi mpaka mkataba unasainiwa unadhani haujapita sehemu husika?Huu upepo wa bandari lazima uondoke na mtu nawaambia, mtakao umia sana jiandaeni mkazikwe nae.
Huko sahihi mkuu, kama kupata tax clearance waweza chukua masaa 4 itakuwa huko bandarini?Bandari haijawahi kufeli Nenda kaangalie mitambo iliyofungwa mle. Pale TPA hata foleni ya malori hakuna ni mara chache Sana ila sio kama miaka ya nyuma
Msumbufu wa pale bandarini ni TRA. Sema watu hudhani Kila changamoto mle ni TPA wakati SI kweli changamoto nyingi mle ni TRA.
Bandari ni kigango miongoni mwa vigango. Mama kagundua na kuziba mrija.Vipi hoja yake nayo haiaminiki?
Halafu wewe utakuwa ni kitukuu cha Mangungo.Acheni kutisha watu vilaza nyie labda mfe nyie msiopenda maendeleo! Na huenda nyie ni vibarua hapo bandari mnaona dili zenu zinaenda kuisha mnajambajamba kiholela!