Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Acha upumbuvu Na udini.Mimi Sina Dini ila nachukia saaana Haya majitu yanayowaza Dini tuu..Rome na Bandari vinaiingilianaje Hapo???Dini ni utumwa wa fikra.Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Angeulizaje wakati sidiefu mstaafu alikuwa huko juzi!Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Ni wazi hata terms za mkataba zingekuwa tofautiMfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Angeuliza tu.Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Kumekuchaaa....Kanisa Moja Takatifu la Mitume
Hahahahaha dah! sema hii ndo ilikua noma kabisa yaniKama unaweza kuokota vichwa vya trani, unategemea nini??
Shida ni ubinafsi hata Mimi nikipata nafasi nitaibaAngeuliza tu.
Hoja yake je ni kweli tumeishindwa kabisa kuindesha hio bandari.
Wakati tunaamuni Dp Wana uwezo why Kaa sisi tusijijengee huo uwezo halafu tukasimimia wenyewe. Why!?
Shida Nini mtaji!?, Usimamizi!? Mashine !?, Je serikali hii yenye kununua mashangingi na anasa za Kila aina Kila mwaka zile za MATUMIZI MENGINE inashindwa kuendesha bandari ni strictly way!?
Wengi tunahoji kwa muktadha huo hata ingetoka mars tungeuliza maana huwezi mpya mtu rasilimali muhimu kama bandari milele halafu ukawa umejifunga kwa mkataba kwa masharti kibao.
Hii nchi bhana inachosha sana
Hili la bandari halitaisha leo Wala kesho"....najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe?! Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!"
" Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi."
Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
Bahati yake tuu Catholic is very strong la sivyo tungewapa hao Waajemi nayo waendeshe kanisa! Ametutokea wapi yeye adili na maadali ya mapadre wake kila siku wana kashfa za ngono ! Bandari inamhusu nini!"....najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe?! Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!"
" Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi."
Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
Wao ndo wameshindwa....basi wapishe watanzania wengine wenye uwezo waendesheIt's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Huo ndio ukweli ifike wakati tuukubali; watanzania wanahitaji kufundishwa kazi kwenye biashara na walioonyesha uwezo wao kwengine duniani.Nchi hata kutoa makaratasi magumu yanaitwa vitambulisho vya taifa haiwezi, sembuse kuendesha bandari.
Ushindwe endesha mwendo kasi uje uguse kwenye bandari, hatuwezi kabisa kabisa.
Tatizo ni mkataba kufanyika haraka, kulazimisha, vitisho na kwa kificho
Kama wameshindwa kuendesha bandari wataweza kuendesha nchi?"....najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe?! Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!"
" Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi."
Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
Tatizo wa tz ni wezi sana wazee wa dili hiyo bandar humuwez endeshaHadi viongozi wa dini wanaupinga huu mkataba ujue ni wa kihuni zaid na haufai.Shauri zenu watawala msiposikia sauti za wengi maana sauti za wengi ni ya Mungu.
Hao watu wa ka..... Ni matapeli tuKama Madam President akishindwa kuwaelewa hadi hawa watu wa Kanisa, basi atakuwa amejiandalia kufeli 2025.
Itakuwa Sikio la kufa