Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

Kwa iyo hao petroo ndo unawachukulia poa mkuu
MO atamtuma Miquison ayajenge na ndugu zake hao. Hela ipo.

Sisi Simba watuwataki Mamelod na Al Ahly maana hao hawahongeki
 
Kati ya viongozi walioiongoza FAT na leo TFF ni Rais huyu wa sasa ambaye amekuwa akiipambania sana Simba(wana Simba tuna kila sababu ya kumshukuru huyu mwamba).

Za ndani kabisa zinaonyesha kuwa mwamba anapambana sana kuiepusha Simba isikutane na Al Ahly au Mamelod, anaipigania timu yetu ipangwe kukutana na Petro de Luanda kwenye robo fainali.

Rai yangu kwa karia ni kwamba itakuwa ni busara kubwa iwapo atazipambania timu zetu zote mbili, angalau YANGA naye akutane na Asec badala ya Mamelod.

Mikakati nje ya uwanja huwa inatubeba sana maana huku KARIA na pembeni MO Mmiliki wa kilabu yetu aliyoinunua ambaye anapoamua kuhonga hakika lazima uingie tu.

Hata ushindi wa jana ni mikakati yake kwa wale makirikiri na lengo lilikuwa kuyazima majungu ya wanasimba kuijadili ile kauli yake ya kuinunu.

Wana Simba wenzangu kuwapata viongozi kama hawa wanaoipambaniitachukuwa muda sana.
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Yaani jamiiforum ya siku hizi imevamiwa aisee... wajinga wajinga ni wengi..

Miaka 10 nyuma nilikuwa nikiingia sikosi madini ya maana.Ina maana uelewa wangu umekua sana au ni wajinga wamekuwa wengi wanaoanzisha uzi.

lakini siku hizi wajinga wajinga wengi.
SASA MTU KAMA HUYU KWELI NAYE ANA HAKI YA KUANZISHA UZI..

Rai yangu kuwe na interview kabla ya kujiunga jamiiforums wengine wabaki kama wageni tu (guests).
Umesema kuwa miaka 10 iliyopita Jf haikuwa na mambo ya ajabu kiasi hiki . Kimsingi wewe brain yako ndio hujai update ndio maana inakosa baadhi ya App muhimu za kuchakata mambo. Imagine 10yrs back ni 2014, hebu jaribu ku scan kisha download new versions kabla haijasema " No longer in use ".
 
Nyie ndio mnaoidharaulisha timu yetu ya Simba . Low IQ
Unachokiongea kwanza no evidence! Bla bla za kwenye kahawa, lecturer kuleta story za kwenye kahawa ni aibu sana
 
Back
Top Bottom