Kariakoo, Dar: Kumetokea ujambazi wa kutisha mtaa wa Lindi na Livingstone muda huu, Polisi mpo wapi?

Hii tabia ya kupiga picha kwenye matukio ya ajari, na kuwacha majeruhi bira msaada haiko Dar TU, umesha kua kama utamaduni kwa Nchi hii.

Hata Huku mikoani wanakua bize kupiga picha uokoaji wanaachiwa Polisi na wenyewe watafika kwa kuchelewa.
 
Unatembeaje na hela nyingi za mauzo ya siku kwenye begi katika huu ulimwengu wa Sayansi na teknolojia?

Pole kwake ila atakua kajifunza jambo.
Ndio hivyo wafanyabiashara wa kariakoo, kufunga hesabu na milioni 200 ni kawaida kwao, tatizo wanaule ukale wa kutembea na maburungutu mengi zama hizi.
 
Tatizo ni Ubinafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…