Kariakoo, Dar: Kumetokea ujambazi wa kutisha mtaa wa Lindi na Livingstone muda huu, Polisi mpo wapi?

Kariakoo, Dar: Kumetokea ujambazi wa kutisha mtaa wa Lindi na Livingstone muda huu, Polisi mpo wapi?

Mitaa anayoitaja ina population kubwa mno ya watu, wapo ambao wana magari wangeweza hata kuwapiga 'pin' hao jamaa kwa kufunga mtaa...
Kama wanabunduki wanapurua,hawataki kwenda ngome mzee ni kheri wakujeruhi
 
wameanza kuondoka watu ndio wanajidai kuwakimbiza, wakatikomea kupitia pale kona ya Azam, livingstone pale.
Wanaume wa Dar anawazisha sana, sijui wenzetu wanakojoa kwa kuchuchumaa....inasikitisha sana!!
Mlilo jambo ni moja tu, u find them, eliminate them!!
 
Kuna bodaboda mbili zilipita speed kwenda uelekeo wa mtaa wa Lindi na Livingstone, kumbe bwana walikuwa wanamkimbiza mhindi aliyekuwa kwenye bodaboda nyingine ya mbele akiwa na begi mgongoni, inasemekena ni mauzo ya dukani, basi nikasikia puuu, kugeuka nikaona ile bodaboda ya mhindi ipo chini, na zile bodaboda zilizomgonga mmoja wao akashuka na kuanza kukata mikono ya begi kwa kisu, mhindi akang’ang’ani begi, maumivu ya kisu yalipozidi mhindi akaachia begi, jamaa akapanda kwenye pikipiki wakaamsha, halafu eti watu wanaangalia tu, mi nilitaka kwenda ila nikaona wale jamaa ili mibisu yao sio ya kitoto, wameanza kuondoka watu ndio wanajidai kuwakimbiza, wakatikomea kupitia pale kona ya Azam, livingstone pale.

Hadi sasa hali ni tete, polisi wawahi hapo kuchukua maelelezo.

========================
Halafu Nimekumbuka, hilo tukio limetokea mbele ya CCTV camera za duka la ‘New Tahery stores’ na ‘D&S Lab equipements’ mtaa wa Lindi, Polisi wakazitizame zile footage wanaweza kuwaona wale majambazi wakati wanakimbizana’ , wacheki footage time ya kuanzia muda nimepost hii thread kurudi nyuma, ni pembeni ya ile nguzo ndio walipomgalagaza mhindi, mbele ya duka la ‘New tahery stores’.
Hao ni waporaji tu majambazi wenyewe wanatumia silaha za kivita. Ila polisi wakiwalaza chini mnakuja kuwalaumu
 
Muhindi anatembea na mauzo ya Siku kwenye bodaboda,ni mazoea au nini?
Halafu watu wamekuangusha bado unan'gania begi tena, ukifa je?.Tunahitaji sana elimu ya kujihami.
Kaona hali ipo shwari km kipindi cha JPM, Ila amekosea sana na jamaa walishakua wanamsomea Rocket
 
Kuna bodaboda mbili zilipita speed kwenda uelekeo wa mtaa wa Lindi na Livingstone, kumbe bwana walikuwa wanamkimbiza mhindi aliyekuwa kwenye bodaboda nyingine ya mbele akiwa na begi mgongoni, inasemekena ni mauzo ya dukani, basi nikasikia puuu, kugeuka nikaona ile bodaboda ya mhindi ipo chini, na zile bodaboda zilizomgonga mmoja wao akashuka na kuanza kukata mikono ya begi kwa kisu, mhindi akang’ang’ani begi, maumivu ya kisu yalipozidi mhindi akaachia begi, jamaa akapanda kwenye pikipiki wakaamsha, halafu eti watu wanaangalia tu, mi nilitaka kwenda ila nikaona wale jamaa ili mibisu yao sio ya kitoto, wameanza kuondoka watu ndio wanajidai kuwakimbiza, wakatikomea kupitia pale kona ya Azam, livingstone pale.

Hadi sasa hali ni tete, polisi wawahi hapo kuchukua maelelezo.

========================
Halafu Nimekumbuka, hilo tukio limetokea mbele ya CCTV camera za duka la ‘New Tahery stores’ na ‘D&S Lab equipements’ mtaa wa Lindi, Polisi wakazitizame zile footage wanaweza kuwaona wale majambazi wakati wanakimbizana’ , wacheki footage time ya kuanzia muda nimepost hii thread kurudi nyuma, ni pembeni ya ile nguzo ndio walipomgalagaza mhindi, mbele ya duka la ‘New tahery stores’.
Hivi sababu ni udogo wa mji,!
Kwanini Zanzibar walifanikiwa kufunga cctv camera kwenye mitaa yote ya mjini!

Bongo imeshindikana nini?
 
Unauliza polisi,wakat polisi walishasema tusiwe tunakaa na pesa nyingi
 
Kama hela kaibiwa muhindi bora tu irudi kwenye mzunguko wa watanzania hao jamaa ni wanyonyaji sana.

#MaendeleoHayanaChama
Hivi kwa mfano mtu wa jamii tofauti na yako akikuita wewe bongo lala utajisikiaje, manake ki historia inasomeka wa Africa kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri lakini si kweli. Vivyo hivyo kwa huyo mhindi unayesherekea anguko lake kwa kumhukumu kwa historia ya jamii yake.

Sidhani kama ni sahihi kuhalalisha haramu kwa sababu tu mhanga ni mtu usiempenda, angalau ungekuwa na ushahidi wa huo ubaya alioufanya tungeweza sema basi hiyo ni karma.
 
0659 852 255
Nilikuwa Nataka nikutumie namba ya OCD Kariakoo lakini unfortunately sikuinakili vizuri. Unakumbuka Mshana Jr aliziandika hizi namba.
Sasa namba ni sahihi
 
Back
Top Bottom