Kariakoo, Dar: Kumetokea ujambazi wa kutisha mtaa wa Lindi na Livingstone muda huu, Polisi mpo wapi?

Pole sana kwa huyo aliyeibiwa.

Dar es Salaam ukishindwa kujitetea basi imekula kwako, huu Mji hakuna anayejali.

Labda tu mambo ya umbea ndio wapo mstari wa mbele.
Sasa mkuu uende ukamtete muhindi bahati mbaya ukiuliwa au kupata majereha ya kudumu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]huyo mlinzi alikuwa mjinga alijidanganya kwamba kwa vile pesa ni nyingi akajua hazihesabiwi
Kosa lake ni kuiacha funguo.bora angeitupa.mabosi zake wangejua wamepoteza funguo
 
Aisee wanatuaibisha sana
Eti visu
Vijana wote hao wameshindwa kuwakamata
Yaani hata wangefunga barabara wangesalimu amri
Kitu usichokijua wezi wa kariakoo wanakuwa na backup inayowalinda.yaani HAYUPO mmoja au wawili uwa Kuna kuwa na wenzao ambao wanawalinda.sasa ikitokea watu wanataka kuwaletea noma uwa wanawahi kwa kuwakinga na kujifanya kuwakimbiza au kumkimbiza.mkifika mbele ûtajikuta unayemkimbiza mwizi upo peke yako mwisho wa siku na wewe unaibiwa unarudi unalia.
 
Muhindi anatembea na mauzo ya Siku kwenye bodaboda, ni mazoea au nini?

Halafu watu wamekuangusha bado unan'gania begi tena, ukifa je? Tunahitaji sana elimu ya kujihami.
Hawana kosa ,hao wahindi ni wanyonyaji na wezi Sana.
 
Kitu usichokijua wezi wa kariakoo wanakuwa na backup inayowalinda.yaani HAYUPO mmoja au wawili uwa Kuna kuwa na wenzao ambao wanawalinda.sasa ikitokea watu wanataka kuwaletea noma uwa wanawahi kwa kuwakinga na kujifanya kuwakimbiza au kumkimbiza.mkifika mbele ûtajikuta unayemkimbiza mwizi upo peke yako mwisho wa siku na wewe unaibiwa unarudi unalia.
[emoji38] [emoji23] [emoji38]
 
😀😀😀😀
 
Muhindi kachomeshwa na watu wa karibu kabisa walikuwa wanajua kama leo hela zinatoka zinapelekwa bank.
 
Dar utauawa mbele za watu hakuna atakayekusaidia.

Nilikuta ajali mbaya watu wamegongwa na gari na kurushwa mtaroni na wanavuja damu kama kuku aliyechinjwa na wakilia kuomba msaada lkn hakuna aliyesogea zaidi wanapiga picha tu na midume kibao imezunguka.

Ndipo nilipojitosa kuwatoa mtaroni na kuwafunga majeraha yao huku wengine wakishangaa tu hadi nilipowafokea sana, akajitokeza jamaa mmoja akanisaidia kuwanyanyua.

Wakazi wa Dar ni wa ajabu sana.
Dar imejaa mashouger watupu.
 
Kitu usichokijua wezi wa kariakoo wanakuwa na backup inayowalinda.yaani HAYUPO mmoja au wawili uwa Kuna kuwa na wenzao ambao wanawalinda.sasa ikitokea watu wanataka kuwaletea noma uwa wanawahi kwa kuwakinga na kujifanya kuwakimbiza au kumkimbiza.mkifika mbele ûtajikuta unayemkimbiza mwizi upo peke yako mwisho wa siku na wewe unaibiwa unarudi unalia.

Duu
 
Sasa mkuu wewe ukiwa safarini huwa unabeba gloves kwa ajili ya tahadhari?
Siwezi kubeba gloves kama kifaa cha tahadhari kwangu. Vipo vya kubeba ila Sio gloves.. Ikutokea kama Hilo bhas nitatumia njia yoyote katika eneo husika kufanikisha kutoa msaada.

Swala LA gloves naona limekuwa nongwa sana Kwa wengi... Ila ndio hivyo timeshazoea kuishi Kwa kudra.. Upendo wa kweli wa kwanza kabisa ni kujioenda na kujijali wewe mwenyewe kwanza.

Huwezi kuhakikisha usalama au afya ya mwingine ikiwa wewe hauko salama. Huko ni kujipiga risasi kwenye mguu wako mwenyewe.

Hata Hao wataalam wa fani hiyo huwa hawatoi huduma bila tahadhari na kujilinda. Sasa mimi nisie mjuzi kwanini nijihatarishe.? InvisibleTarget
 
Gloves ni muhimu zaidi ya uhai wa binadamu!!!?? Unamaanisha kama hakuwa na gloves hakutakiwa kutoa msaada!!?? Nchi ina viumbe wa ajabu sana hii.
Huo ndio muongozo na kanuni za afya katika kutoa huduma ya kwanza Kwa mtu anaevuja damu au unatumia hisia katika maswala ya kitaalamu?
 
Siwezi kubeba gloves kama kifaa cha tahadhari kwangu. Vipo vya kubeba ila Sio gloves.. Ikutokea kama Hilo bhas nitatumia njia yoyote katika eneo husika kufanikisha kutoa msaada.

Swala LA gloves naona limekuwa nongwa sana Kwa wengi... Ila ndio hivyo timeshazoea kuishi Kwa kudra.. Upendo wa kweli wa kwanza kabisa ni kujioenda na kujijali wewe mwenyewe kwanza.

Huwezi kuhakikisha usalama au afya ya mwingine ikiwa wewe hauko salama. Huko ni kujipiga risasi kwenye mguu wako mwenyewe.

Hata Hao wataalam wa fani hiyo huwa hawatoi huduma bila tahadhari na kujilinda. Sasa mimi nisie mjuzi kwanini nijihatarishe.? InvisibleTarget
Upo sahihi kwa upande wako na Mimi nipo sahihi kwa upande wangu...Binafsi yangu linapokuja suala la dhrarura kila kinachoendelea mbele hufanyika kwa dharura...Taadhari nitachukua za wastani..sina kidonda wala mchubuko mikononi nitafute gloves za nini kumsaidia mtu kwenye dharura.
 
Dar ni mkoa mmojawapo uliojaa watu waoga na wabinafsi sana.

Back
Top Bottom