KARIAKOO DERBY: Mechi baina ya Simba na Yanga, waamuzi watoke nje ya Tanzania kwa usalama wao pamoja na familia zao?

Mkuu, people are getting mad as days go by. Kuna watu timu zao zikifungwa pressure inapanda au kushuka na wanapoteza uhai..
Najua wengi watakupinga lakini uko sahihi. Marefa wetu siyo kwamba sheria hawazijui au hawalipwi vizuri na makosa huwa hawayaoni. Sheria wanazijua na makosa wanayaona vizuri mno. Tatizo ni kwamba wanachezesha kwa maelekezo ya hivi vilabu viwili kulwa na doto .

Hii ipo siku itawagharimu Maana Mashabiki wa hivi vilabu wengi wao ni wakorofi .
 
Kweli mkuu. Kama Kariakoo Derby, mwaka jana kuna watu walishikiana visu kabisa huku kitaani kwetu uswazi..
 
Huko kudhuru wengine umeenda mbali sana tuanze na kujidhuru yeye mwenyewe
Screenshot_20250108-103423_1.jpg
 
....kuna watu wana wazimu wa mpira mkuu wangu wee acha tu.

Mtu yupo radhi atoke Dar kwenda kutazama mechi ya Simba/Yanga hukoo Morogoro, lakini home hajaacha pesa ya watoto kula..
sasa hapo kutakua kuna tatizo mahali , alafu Mpira ni mchezo wa makosa sio kwa wachezaji tu hata marefa, hata iweje hawawezi kuwa perfect 100% , kwa hiyo ni Bora kua shabiki maandazi na kushabikia hizi timu kujifurahisha tu na sio kujitwika unazi kwamba timu ya Mpira ndo source ya furaha yako.
 
....and this is exactly how it was supposed to be done mkuu wangu.
 
Ukiweka waamuzi toka nje wakachezesha kwa haki Simba itafungwa mara mia na ladha ya derby itabaki historia. Kwasasa kina Sasi na Tatu wanasaidia kubalance na kuziba panapovuja!!

Yanga inapambana kuifunga Simba ili kubeba kombe, Simba inapambana kuifunga Yanga ili kufurahisha mashabiki, akili mbili tofauti!
 
Mhhh..
 
jenga uchumi wa watu wako wewe!, wapo marefa ukiwapa hiyo mechi watakuonyesha uwezo mzuri tu
Marefa wenyewe ndo hao huko Zenji wanapiga wachezaji ngumi
 
Najua wengi watakupinga lakini uko sahihi. Marefa wetu siyo kwamba sheria hawazijui au hawalipwi vizuri na makosa huwa hawayaoni. Sheria wanazijua na makosa wanayaona vizuri mno. Tatizo ni kwamba wanachezesha kwa maelekezo ya hivi vilabu viwili kulwa na doto .

Hii ipo siku itawagharimu Maana Mashabiki wa hivi vilabu wengi wao ni wakorofi .
Mkuu lakini ili kuondoa lawama na makosa ya kibinadamu ni wazo nzuri marefa wa derby kutoka nje, kuna derby ya Al Ahly na Zamalek walienda kuchukua refa Spain kama sikosei.

Kama TFF inaogopa gharama ya kulipa refa kwa mechi moja nadhani Simba na Yanga hawashindwi kutoa fungu halafu TFF ilete refa.
 
Hahahaaa, mkuu hii ni kali aisee na sikuwahi kuisikia pahala popote pale..
 
Mkuu lakini ili kuondoa lawama na makosa ya kibinadamu ni wazo nzuri marefa wa derby kutoka nje, kuna derby ya Al Ahly na Zamalek walienda kuchukua refa Spain kama sikosei.

Kama TFF inaogopa gharama ya kulipa refa kwa mechi moja nadhani Simba na Yanga hawashindwi kutoa fungu halafu TFF ilete refa.
Nimeona mkuu, hii ya Egypt. Thanks for the info.

Screenshot_20250111-174322_1.jpg
 
Back
Top Bottom