Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Of course, marefa ni watu, kukosea ni inevitable. Nachojaribu ni kueleza tu ndugu!VAR pale EPL tu inakosea sembuse Bongo...
😂😂😂😂Umetumwa na mabeberu siyo?
Goli la kagere limewauma sana hadi imefikia hatua sasa mpaka tff wanalaumiwa?Tff mjipange! , Leo wengi tumeshindwa kuingia uwanjani tumekuja kwenye mabaa.. Yaani inaumiza unakuja hadi huku halafu unaishia nje! Nimekasirika Sina tu jinsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Offside ile nayo ya Nchimbi nayo mwamuzi huwezi mlaumu?Wakati Nchimbi hakuwa offside.Lakini VAR nayo si imeonesha penart. Kwa mazingira yale mi siwezi mlaumu refa, ndio maana wenzetu wameweka VAR. Ile kama ile faulo ya liverpool siku ile ya fainari. Mi namlaumu lines man ile offside ndio kachapia kinoma. Ila refa anajitahidi.
🤣🤣🤣 mkuu huyu sio mwenzetu ni 🐸🐸Umetumwa na mabeberu siyo?
It was a clear penalty no doubt, hawa wanalalama kwasababu ya mahaba yao tu na sio uhalisia.Mashahidi wote wale hawakuona kama sio Penati !?
Nimekupata ndugu...😂😂Of course, marefa ni watu, kukosea ni inevitable. Nachojaribu ni kueleza tu ndugu!
Natamani tuwabalalue Ndala FC lakini magoli yasiyo na utata wasipate cha kuongea.
Muandaeni uzuri kabisa.Jamani tuko hapa tunamfungashia Salma vilago vyake kabisaaa mechi ikiisha Kagere aje kumchukua tu mrembo wake bila mahali.
Piga piga hao simba oyeeeIt was a clear penalty no doubt, hawa wanalalama kwasababu ya mahaba yao tu na sio uhalisia.
Kosa la yanga wanaoendelea kushiriki kwenye mechi hii
Kelele za chura hazimzuii simba kunywa majiSawa angekula nyekundu ila haibadilishi Kagere amechezewa faulo nje ya 18,kuwa mkweli penati hamna pale.
Kani faulo ilibidi Kelvin ale nyekunduJapo mimi Simba ila linesman amezingua amem-mislead refa wa kati.
Haikua penati. Foul imechezwa nje ya mstari.
[emoji16][emoji16][emoji16] gongo wazi mna tabu sana kwa mpira huo hata shoot on target hakuna, then mnatarajia goli kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji12][emoji12][emoji12]Yanga sawazisheni bwana.
Mshana ile makitu nyeusi uliyowapa yanga imechukuliwa na refaMbado
Jr[emoji769]