Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Mechi kubwa kama hii refa anatoa penati nyepesi hivyo...
 
Haya wasikilizeni wachambuzi angalieni na Slow motion hiyo.

Kweri hatukucheza mpira mzuri first half lkn ile sio penati na Nchimbi hakuwa Offside.
 
Naangalia marudio hapa nashangaa huyu mchezaji wa yanga anataka kurudia kosa lile lile tena lililoigharimu yanga kwa kumshika mkono kagere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…