Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

Kuna dalili mikia kung'oa viti maana inamatokeo yao mfukoni
 
Wachezaji wa simba wanaonekana kuwa na furaha huku wenzetu wakionekana kuwa na huzuni sana
 
Inashangaza sana kila kitu kukopi kwa mkoloni.
Kwani ile phrase yetu ya enzi na enzi ' watani wa jadi' walihisi imepitwa na wakati!?

Haya mimi sitaki kuwa mfuata mkumbo kuongea au kurukia vitu nsivyovielewa. Nielewesheni Kariakoo Derby maana yake nini hasa...na kwanini!??
 
Jamani mwenye link atuwekee hapa
 
Back
Top Bottom