Kariakoo haina umuhimu kwa uchumi wa nchi kama tunavyo aminishana Bongo lala

Nakuunga Mkono kwa 1000% wabongo wana Ujinga na Ushamba sana

Kariakoo ni yetu kwa eneo tu lakini vilivyopo vyote ni vya wenzetu, sasahivi kuna soko kubwa sana Bombay India kama yale ya China ya kusupply products ila sisi ni wa kuletewa tu na kutumia.

Hata vikiharibika hatuna viwanda vya kurepair achana na kuunda

Watu weusi ni jamii ya hovyo sana
 
Mtu mweusi ni Mtu hovyo duniani, anajua tu kula, kulala na kuzaa
 
Aliyeanzisha huu uzi alikuwa very clear kwenye mchango wake. Alijikita katika utekelezaji wa sera za nchi za kujenga uchumi wa viwanda kuliko UCHUUZI. Alianza hivi: QUOTE "Kariakoo haihamasishi ukuaji wa viwanda vya ndani...." UNQUOTE. Sasa ukichangia huu uzi bila kusoma post ya kwanza ya hoja iliyoanzisha uzi huu kuna uwezekano wa kupoteza maana au mantiki ya hoja yenyewe. Mimi namuunga mkono. Niliwahi kuchangia kwa mtiririko unaofanana na mchango wake kwenye uzi mwingine kuhusu soko jipya la Ubungo. Nchi yoyote isiyojikita katika kuhakikisha inajenga uchumi wa viwanda for VALUE ADDITION itaendelea kutembeza bakuli tu.
 
Mkuu nakubaliana na hoja yaako ,ila machawa wanasema hatuna viwanda ,that's nikaja na hoja iyo ,all in all nakuunga mkono
 
BASHE amefanya dili la B / 500 badala afukuzwe anapewa adhabu Mpina

Napendekeza bunge livunjwe na mawaziri wote wawe under house arrest na vyombo vya ulinzi wawahoji wapi wanapeka pesa vinginevyo ndugu Rais atakua anahusika .

Ndungu Rais fanyia kazi hoja hii ,machawa yanakusifia huku yanakula pesa za kuiba.
 
Wala hujakosea.
Na siku hiz Tz imekuwa soko la India kwa bajaji na bodaboda mpaka city Centre. Waliondoa zile Daladala vipanya na sasa mji umejaa bodaboda na bajaji tena zinatumia mafuta
 
Nafikiri huhamuelewa hata kidogo rudia soma Uzi vizuri utamuelewa
 
Wala hujakosea.
Na siku hiz Tz imekuwa soko la India kwa bajaji na bodaboda mpaka city Centre. Waliondoa zile Daladala vipanya na sasa mji umejaa bodaboda na bajaji tena zinatumia mafuta
Na zinabeba nyama na samaki kwa ajili ya bucha!
 
Yaani soko linalotegemewa kwa uchumi wa nchi yetu halijusiani na kuuza bidhaa zilizotengenezwa kwetu?? Broooo hapana bhana
Tuanze sera ya kuanzisha Import Substitution Industrialization (ISI)

Tujenge viwanda vyetu tuanze uzalishaji

Then bidhaa zetu zikacompete na Mchina Kariakoo
 
Ukweli mchungu,kazi nyingi bongo za uchuuzi na sababu tuna booming population uchuuzi unalipa hasa uchuuzi usio rasmi. Dar wamachinga wengi na madalali na pia hawalipi kodi.
 
Na ndio hoja kuu ya mtoa Uzi kama umemsoma
Kwa hiyo kusema soko la Kariakoo halina umuhimu mimi ndio ninachopinga

Karikoo ni muhimu hata tuwe na viwanda vyetu vya ndani bado tutalihitaji soko la Kariakoo

Shida sio Kariakoo shida ni sera zetu mbovu katika uchumi wa viwanda
 
Umeandika point tupu ila wachache watakuelewa japo sipingi umuhimu wa Kariakoo kwenye uchimi wa nchi kutokana na wageni toka nchi za jirani kama Comoro,DRC, Malawi na Zambia ambao hutegemea ili soko ila sio roho ya uchumi wa nchi, yaani soko liwe roho ya uchumi kupita mkondo wote wa bahari toka panic ya Tanga hadi Mtwara? Au kupita uzalishaji wote unatokana na maziwa hasa Victoria na Tanganyika? Kama ndio hivyo basi huku kwenye mali hasili tunapigwa sana.
 
Kwa hiyo kusema soko la Kariakoo halina umuhimu linadumaza mimi ndio ninachopinga

Karikoo ni muhimu hata tuwe na vuwanda vyetu vyavndani bado tutalihitaji soko la Kariakoo

Shida sio Kariakoo shida ni sera zetu mbovu katika uchumi wa viwanda
Hoja ya mtoa Uzi nikwamba unaenda kariakoo ambapo ndo kama soko kuu la nchi hii lakini hukutani na bidhaa yoyote iliyotengenezwa tz,,,Sasa Hilo soko linakuza uchumi wa tz au china??
 
Hoja ya mtoa Uzi nikwamba unaenda kariakoo ambapo ndo kama soko kuu la nchi hii lakini hukutani na bidhaa yoyote iliyotengenezwa tz,,,Sasa Hilo soko linakuza uchumi wa tz au china??
Kwa nini Kariakoo haukutani na bidhaa yoyote iliyotengenezwa Tz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…