kinguhj
Member
- Sep 4, 2024
- 49
- 129
ROYALITYRoyal--loyal
Ova
Royalty is never a wisdom,its a product between trust and longterm business relationship between two ssides.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ROYALITYRoyal--loyal
Ova
Kama kwa njumu sawa ulipata kwa bei elekezi kabisa ad zero, 360 bei ni kama hioNi njumu ya mpira kwa uzoefu bei haikuwa mbaya
Genuine ya mchongo.Wana msemo wao utasikia citu genuine
👍ROYALITY
Royalty is never a wisdom,its a product between trust and longterm business relationship between two ssides.
Watu wenyewe ndiyo wanawaendekeza hao mawingaGenuine ya mchongo.
Asilimia 90 ya wafanyabiashara wa kkoo na mawinga wao ni matapeli.
Na wanajisifu kwa utapeli wao.
Yaani jamaa anavyoelezea Yuko very proud as if ni jambo la kijivunia sana na wakati ni ujinga tu Tena ujinga unaotia uzuni.Kabisa jamii ya hovyo sana.
Yani mtu anatoa ushauri wa kipumbavu na anaona sawa tu.
Sasa kwa hali ya kawaida inawezekana vipi kila mtu awe na winga wake ambaye yupo royal.
Ni kitu kisichowezekana ni pia ni usumbufu kwa mteja.
Muhimu watu wakatae kwenda Kkoo.
Mawinga wanafosi sana kingi.Watu wenyewe ndiyo wanawaendekeza hao mawinga
Unaenda dukani,duka unaliona
Hakuna haja wala kupoteza muda kumsikiliza winga
Ova
Mimi kariakoo niliacha kwenda baada ya kuona mahitaji yangu mengi nayapata maduka ya mtaani kwangu kwa gharama nafuu kuliko kkoo nikastuka nikaacha kabisa kwenda.Yaani jamaa anavyoelezea Yuko very proud as if ni jambo la kijivunia sana na wakati ni ujinga tu Tena ujinga unaotia uzuni.
Yaani kwamba Sasa hivi tuanze kuumizwa kichwa jinsi ya kupata hela na pia vile vile tuumize kichwa kuwatafuta hao mawinga watakaotuuzia vitu kwa bei sahihi, kwa sababu tu hakuna usimamizi kwenye suala Zima la bei elekezi??
Kwa akili hizi wakenya wakitutukana huwa nawaona wako sahihi wakati mwingine...
Sasa hivi Mimi baada ya Karume sehemu nyingine ambayo sitoenda kununua bidhaa yoyote ni huko kariakoo, acha tu nianze kuagiza AliExpress.
Wabongo wengi kwenye biashara zao huwa wanapata wateja wapya Kila siku, na siku hao wateja wapya wakianza kuhadimika anafunga biashara na kurudisha fremu kisha anaanz kusingizia Kuna watu wamemuonea wivu na hivyo wameroga...Wabongo wengi kwenye biashara uwa tunaangalia tunachopata wakati huo tu hata kama uko mbeleni kutakua na risk,hatujui biashara aisee,leo uniuzie famba unadhani kesho nitakuja!
Umechukua uamauzi sahihi kabisa mkuu.Mimi kariakoo niliacha kwenda baada ya kuona mahitaji yangu mengi nayapata maduka ya mtaani kwangu kwa gharama nafuu kuliko kkoo nikastuka nikaacha kabisa kwenda.
Labda nitafute kitu nikikose kabisa maduka ya mtaani ndo ntaenda huko kwa mawinga(wezi)wanaopandisha bei kuliko kawaida.
Biashara mimi nimeingia kkoo nimeikuta hivyo japo nipnipo nimetoka nimeiacha hivyo. Unataka kupata hela usiwabanie watu biashara haiwez kufa kwaajili ya winga mzee. Biashara inakufa kwa kukosa mahtaji ya watu. Biashara ni game ya kuwin mindset za watu. Unaleta kisichopatika popote hawana jins zaid ya kukufuata na unacheza na wakati ili wasizoee aina moja ya kazi. So unatengeneza kitu kwenye akili yao kinachoamin uwezo wako basi. Miaka 5 unabadilika. Ukiona unazeeka unatengeneza management fungua branch unapeleka akili mpya front we unakaa pembeni kudhamin pambano.Sasa kama ni hivi basi haukuwa na aja ya kutoa maneno yaliyojaa fedhuri na dharau kwa mleta mada....
Kama wewe unaona ni sawa tu kununua kitu ambacho Kiko overpriced kwa lengo la kutaka na wengine wapate kwa sababu kipato chako kinaruhusu, basi wasikilize na waheshimu wale ambao Bado Wana bargain mpaka kwenye lowest price line, maana hapa duniani binadamu hatufanani kama tu ilivyo kwa vidole.
Kuhusu uwinga Bado nakwambia uwepo wao ni sumu na pigo kubwa sana kwa wateja, na ndio chanzo Cha kupunguza kwa customer base ya Eneo husika, mfano kama Mimi leo hii siwezi kabisa kwenda Karume kutokana huu ushenzi, yaani unaingia tu pale mlangoni unapokelewa na mawinga kama watano na Kila mtu anakuongelesha, haya unafika golini suruali moja ya mtumba wanakutajia bei eti 35,000/= kweliii??? Hapo unategemea Kuna mtu anarudi Tena Hilo Eneo.?
Hao mawinga wenu wanawaharibia biashara sana wewe endelea kuwatetea tu hapa
Aisee hapo kwa bold umeongea kwa uchungu sana japo ndio uhalisia wenyewemawinga ni inzi katika biashara tupinge uwepo wa inzi katika biashara😁😁😁😁. Inzi wanaleta kipindupindu Na wachina wakija hapo ubungo ni bora kuwaunga wachina sio hawa NGOZI NYEUSI NYWELE NGUMU.Mijitu mweusi haitakuja kustaarabika kamwe na ndo jamii ya binadamu ambayo itaendelea kutawaliwa milele.
Sawa nimekuelewa winga mstaafu...Biashara mimi nimeingia kkoo nimeikuta hivyo japo nipnipo nimetoka nimeiacha hivyo. Unataka kupata hela usiwabanie watu biashara haiwez kufa kwaajili ya winga mzee. Biashara inakufa kwa kukosa mahtaji ya watu. Biashara ni game ya kuwin mindset za watu. Unaleta kisichopatika popote hawana jins zaid ya kukufuata na unacheza na wakati ili wasizoee aina moja ya kazi. So unatengeneza kitu kwenye akili yao kinachoamin uwezo wako basi. Miaka 5 unabadilika. Ukiona unazeeka unatengeneza management fungua branch unapeleka akili mpya front we unakaa pembeni kudhamin pambano.
DuhhNenda Mtwara
Huko bei chee
Cjastaafu niko viwandan huku naweka oda sema nimepanda cheo kidogo.Sawa nimekuelewa winga mstaafu...
Biashara kama hizo ni za kishzMawinga wanafosi sana kingi.
Ukifika tu dukani hata kama ulienda mwenyewe winga lazima akudandie na wenye maduka yao wanakuacha na winga uangaike nae akupige.
Yeye katulia pembeni tuli.
Shida inaanzia hapo mkuuWabongo wengi kwenye biashara zao huwa wanapata wateja wapya Kila siku, na siku hao wateja wapya wakianza kuhadimika anafunga biashara na kurudisha fremu kisha anaanz kusingizia Kuna watu wamemuonea wivu na hivyo wameroga...
Mbongo anafanya baishara kwa kuangalia hela anayoingiza leo tu, Wala Hana muda wa kutengeneza customer base ya kudumu
Hata Tandika wana huo mchezo wa mbegu....Karume kuna nguo na viatu wanaita mbegu,hizo mbegu uwa ni kwa watu special