Winga maana yake niniWinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Winga maana yake niniWinga
Wale dawa yao nikuwaambia ushakata ticket.Hao masalange wamejaa kila kona. Uhaba wa kazi umesababisha yote haya.
Kuna wale wanaokaa vituo vya mabasi. Yani abiria unaamka asubuhi una ratiba ya kwenda sehem flani na ofisi za kukatia ticket unafaham zilipo lakini ghafla ukifika stand unakutana na jopo la vijana wa hovyo wanakuvuta vuta na kukuuliza maswala wakitaka kujua unapoenda ili wajifanye wamekupeleka wao ofisi za basi husika wapate ganji. Miyeyusho kinoma.
Kata ticket online kupunguza usumbufu.Hao masalange wamejaa kila kona. Uhaba wa kazi umesababisha yote haya.
Kuna wale wanaokaa vituo vya mabasi. Yani abiria unaamka asubuhi una ratiba ya kwenda sehem flani na ofisi za kukatia ticket unafaham zilipo lakini ghafla ukifika stand unakutana na jopo la vijana wa hovyo wanakuvuta vuta na kukuuliza maswala wakitaka kujua unapoenda ili wajifanye wamekupeleka wao ofisi za basi husika wapate ganji. Miyeyusho kinoma.
wewe utakuwa wa kanda ya ziwa kama sijakosea... Neno salange wanalitumia sana hasa maeneo ya stend ya mabasHao masalange wamejaa kila kona. Uhaba wa kazi umesababisha yote haya.
Kuna wale wanaokaa vituo vya mabasi. Yani abiria unaamka asubuhi una ratiba ya kwenda sehem flani na ofisi za kukatia ticket unafaham zilipo lakini ghafla ukifika stand unakutana na jopo la vijana wa hovyo wanakuvuta vuta na kukuuliza maswala wakitaka kujua unapoenda ili wajifanye wamekupeleka wao ofisi za basi husika wapate ganji. Miyeyusho kinoma.
Hayana eneo maalum kuna maduka tofauti tofauti mkuu.mawinga wapo kila mahaliElectronics kitonga ni mtaa wa Magila ila lazma uwe na connection🤣! Nimenunua mali kwa 950K ambayo ukienda kibwege unauziwa 1.2M ila yote ni sababu ya plug tu.
Na unakuta kuna mafundi simu dukani humohumo.mi kabla sijaenda kununua kitu chochote kkoo naangalia bei yake mtandaoni kwanza.ukiingia kichwa kichwa kkoo lazima ulizwe.Dar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu
Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa
Kariakoo acheni uhuni
Ka frem kadogo wamejaa madalali zaidi ya 20 wanazidi hadi wateja
Weka namba za simu hapa na jina la duka lako na mahali lilipo,Anaetaka electronic bei za jumla njoo pm.
Bei mserereko Hadi ushangae
Mjini akili nguvu kijijiniDar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu
Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa
Kariakoo acheni uhuni
Ka frem kadogo wamejaa madalali zaidi ya 20 wanazidi hadi wateja
Mawinga mkuu ,simu inauzwa 300k mawinga wanaiprice mpk 450k ukiwa mshamba unapigwa😅😅