Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Duh poleni sana.

Mpaka hair dye atakuja tena na kamati yake ya uchunguzi kumbe ni chaka la wajanja kupiga pesa.
 
Kuna washkaji wana maduka yao mitaa ya jirani na hapo ngoja niwasikilizie kama wameguswa na hili janga.
 
Tatizo la Kariakoo ni Siasa na ndo maana Soko la Ubungo litawaumiza Kariakoo sana
 
😅🖖🏾
 
Kawaida yetu. Siku ya Simba Day ili tushinde ilipasa tulipuju tqkner la mafuta Ubungo. Leo kufuzu klabu bingwa Africa lazima kariakoo iteketee!
 
Wataondolewa endapo soko litakamilika
Kuondolewa kwa machinga hakuna uhusiano kwa soko.
Masoko yako mengi ila wanasiasa wanatumia kama wapiga kura wao.
Soko la magomeni lipo wazo , Machinga ipo wazi ila wamezoea kukaa nje na chini, hawataondoka hata kila mtaa kujengwe soko wataendelea kutumiwa na wanasiasa.
huu ni ugonjwa wa nchi zote maskini.
 
watu mafukara huonekana kirahisi kwenye fikra zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…