Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wamemfunga Mbarikiwa sasa ngoja uone Mkono wa Mungu wa IsraelCCM unawaita mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemfunga Mbarikiwa sasa ngoja uone Mkono wa Mungu wa IsraelCCM unawaita mungu?
Moto wa mchongo huoHabari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa baadhi ya bidhaa zao.
View attachment 2768279
View attachment 2768304
View attachment 2768357
Hujuma zinaendelea dhidi ya Mama!!
Sijui kama mama anaelewa hiki I kinachompata!!
Mungu ibariki Tanzania nchi yetu!
Hili iuze nini ? Usafi au Maonyesho ya Usafi ?Acha uwake tu tena uwake uunguze vitu. Yaani kariakoo ni eneo la kijinga sana hakuna mpangilio wa kitu chochote, siyo maduka makubwa wala machinga, yaani siku ikitokea fujo watu watakufa sana. Nashauri serikali iwafukuze chinga wote wanaopanga barabarani waondoke kariakoo iwe safi
Okay.Hilo eneo la mnadani kuna umbali na soko la Kariakoo. Rusijazane ujinga, wengine tumekulia mitaa hiyo, tunaifahamu toka haijaanza kujengwa Maghorofa.
[emoji23][emoji23]Kwanini uwake jumapili sasa
[emoji23][emoji23]TumainiEl ulisema moto hautawaka tena, ona sasa!!!
Watanzania wanaweza kubeba jengo kabisa au Vaults zenyeweBank pesa haziibiwi kijinga namna hii mkuu.Hata bank iwake moto uwezekano wa pesa kuungua ni mdogo sana.Hakuna mtu anaweza vunja vault za pesa kama hana cressidential za kufungua
Masikini usie 'na akiliSafi sana yaani saana
Nikiripoti kutoka eneo la tukio, nasema hivi serikali ni...
Sina wakili
Kwakifupi hilo eneo ni mbele ya soko kuu la kkoo ambalo liko kwenye maboresho na matengenezo, inawezekana wameona walichome na hilo ili kusafisha mandhari ya mbele ya soko lao.Wamelichoma hili bila shaka yoyote wenye mamlaka zao
Aisee...Mi simo..[emoji119][emoji119][emoji119]Was……………e
Sina mwanasheria
Mungu wa Israel anahusika hadi huku kwetu ama?Wamemfunga Mbarikiwa sasa ngoja uone Mkono wa Mungu wa Israel
Subiri sasa utaonaMungu wa Israel anahusika hadi huku kwetu ama?
Hao ndo aina ya watu ambao tunategemeana washirikiane kuliondolea taifa hili umasikini. Hio orodha hapo ni activity feki inaandaliwa ili malipo yaidhinishwe watu wavute mipunga.Mambo mengi tz yanaendeshwa kisenge senge sana. Juzi niliiskia kwenye ofisini moja ya umma mtu mmoja (mkuu kikazi) anamwambia mtu mwingine (mdogo kikazi) aliekuwa amempelekea formu fulani hivi eti "hapo andaa orodha yoyote ya watu kama 10 ionekane wao ndio walishusha huo mzigo, halafu fulani (jina) asaini.
Yule mdogo nikasikia akamwambia mkubwa "tatizo fulani(jina) yupo mwanza"
Mkubwa "Utasaini jina lake"
Nikabaki nasema kimoyo moyo "kmmke hii nchi ya kisenge sana