Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Pole kwa waliofikwa na majanga haya, huna bima umasikini huu hapa, na hivi hatuna utaratibu wa kukata bima za namna hii..majanga!!
 
Acha uwake tu tena uwake uunguze vitu. Yaani kariakoo ni eneo la kijinga sana hakuna mpangilio wa kitu chochote, siyo maduka makubwa wala machinga, yaani siku ikitokea fujo watu watakufa sana. Nashauri serikali iwafukuze chinga wote wanaopanga barabarani waondoke kariakoo iwe safi
Hili iuze nini ? Usafi au Maonyesho ya Usafi ?

Tatizo la kutokumaliza tatizo ni kama kufyeka magugu badala ya kuyangoa...; Jinsi ya kuondoa watu sio kwa kuwafukuza bali ni kuwapa alternative ya shughuli ambazo zitawalipa na kuweka utaratibu unaofaa..., hapo hata ukiamua baadhi ya floor ukaweka mazulia na sliding floors kama kuna wateja wataweza kulipia gharama watakaa huko na wasioweza watakwenda pengine (ila kwanza kule pengine pawepo na kuwepo kwake kuweze kukidhi ujira kwa watakaokwenda huko)

 
Ufisadi Ukikoma haya madude yatakwepo na maji yatapatikana.

Mnunue na vifaa vya kuendana na ukuaji wa miji na majengo ya kisasa.

types-of-aerial-fire-trucks-banner.jpg
 
Morogoro miezi kama mitatu iliyopita uliwaka moto,nyumba ipo kama 200m toka kituo cha zimamoto cha mkoa,walifika eneo la tukio kwa kuchelewa,magari hayakua na maji,.ikabidi gari itoke mzinga jeshini karibu km 5..
 
Mambo mengi tz yanaendeshwa kisenge senge sana. Juzi niliiskia kwenye ofisini moja ya umma mtu mmoja (mkuu kikazi) anamwambia mtu mwingine (mdogo kikazi) aliekuwa amempelekea formu fulani hivi eti "hapo andaa orodha yoyote ya watu kama 10 ionekane wao ndio walishusha huo mzigo, halafu fulani (jina) asaini.

Yule mdogo nikasikia akamwambia mkubwa "tatizo fulani(jina) yupo mwanza"

Mkubwa "Utasaini jina lake"

Nikabaki nasema kimoyo moyo "kmmke hii nchi ya kisenge sana
Hao ndo aina ya watu ambao tunategemeana washirikiane kuliondolea taifa hili umasikini. Hio orodha hapo ni activity feki inaandaliwa ili malipo yaidhinishwe watu wavute mipunga.
 
Back
Top Bottom