Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Alafu ukute mtu ameingiziwa mkopo wake alhamisi alafu ijumaa ameenda kutia mzigo wa kutosha ili juma tatu aanze kukimbiza.

Anakuja kuskia au kuona balaa ndio hilo.

Wakati mwingine vifo hutokeaga hivi hivi.
 
Bank pesa haziibiwi kijinga namna hii mkuu.Hata bank iwake moto uwezekano wa pesa kuungua ni mdogo sana.Hakuna mtu anaweza vunja vault za pesa kama hana cressidential za kufungua
 
Kama una maisha mazuri na mitaji ya kukodi frame mshukuru mungu na sio kuwaombea wenzako wafukuzwe.

TUNATEGEMEANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…