Kariakoo, Upanga na Posta wana nchi yao nyingine kabisa

Ni kawaida sana, kuna watu huko vijijini hadi wanazeeka hawajahi kufika makao makuu ya wilaya na bado mahitaji yote ya maisha, kula, kuvaa, kulala wameyapata, unashangaa posta na kariakoo aisee!
 
Kuna watu wanakaa kibaha, kiluvya hawajawahi fika katikati ya jiji wakija mjini wanaishia mbezi mwisho. Wakijitahidi sana ni kimara na ubungo fullstop. Zaidi ya hapo hata nauli ya kurudi hawana
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu wanakaa kibaha, kiluvya hawajawahi fika katikati ya jiji wakija mjini wanaishia mbezi mwisho. Wakijitahidi sana ni kimara na ubungo fullstop. Zaidi ya hapo hata nauli ya kurudi hawana
Kwan mjini ni wap?
 
na huku mbagala tuna maisha yetu, huduma zote tunazipata huku kuanzia miguu ya kuku, utumbo, sukari ya sh mia n.k
Kuhusu Mbagala, nakataa aisee! Maana wakati naishi maeneo hayo, kulikuwa na daladala aina ya Toyota DCM. Zilikuwa zinatoka Mbagala Rangi 3 kwenda Posta/Kivukoni!!

Au siku hizi mnatumia mwendokasi? Au ndiyo kusema hamfiki kabisa Posta/Kivukoni kununua wale dagaa mchele? 😁
 
Kama huna la kwenda kufanya sehemu huwezi kabisa kupajua. Mimi niliishi Ilala Boma mwaka mzima ila Kigogo nilikuwa napita tu na daladala sikuwahi kuwa na safari ya kwenda Kigogo. Hata Buguruni ilinichukua muda sana kufika.
 
Hili si la Uongo, nimekutana na Kijana Mzaliwa wa kariakoo mwenye Familia yake, hakuna sehemu nyingine anayoijua zaidi ya Kariakoo, Ilala, Magomeni na Posta yenyewe..Kwa sasa ndiyo ameanza angalau kutoka anaeza kwenda Maeneo mengine nje ya Mji...
Mm sikuwai kujua mbagala,chamazi,mbande,msongola,kitonga,mvuti, chanika, dar es salaam ni kubwa sanaaa...
 
CHAI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…