Kariakoo, Upanga na Posta wana nchi yao nyingine kabisa

Kariakoo, Upanga na Posta wana nchi yao nyingine kabisa

na huku mbagala tuna maisha yetu, huduma zote tunazipata huku kuanzia miguu ya kuku, utumbo, sukari ya sh mia n.k
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna dogo mmoja nilikutana nae katika mishe mishe anaishi mtaa wa zanaki hapo posta. Mikocheni hapajui wala ubungo au kawe hata hapo magomeni tu yeye hajawahi kufika.

Ni Posta kasoma shule za mjini, akitaka kusafiri anakula Pipa Airport basi
huyo atakuwa na matatizo. tuseme hata kwenda kuchek ndondo haend. utalikuta hata kuimbisha haliwezi
 
mimi nilishangaa mtu anaishi tegeta toka mtoto anasema hajawahi kufika chanika.
kabisa hapajui.
Mimi nimezaliwa Dar nimesoma dar hadi Chuo ila chanika sijawahi fika

Pugu sijawahi fika.

Mbagara road nimeishia kongowe tena zamani sana enzi za shule.

Kigamboni yenye juzi kati ndio nimeingia ndichi huko.

Mimi ni mzee morogoro road na bagamoyo road.mitaa karibu yote naipata.

Posta, kariakoo upanga obey, MASAKI kote huko nimezurura sana.

Pia Temeke naipata pata hasa yombo dovya, hadi buza road.

So tupo wengi sana baadhi maeneo ya dar hatuyajui.
 
Nilikutana na pisi moja ya kipakistani. Imekulia posta imesoma posta, anadai alishafika Arusha. Cha ajabu hajui kinondoni wala sinza.

Ile pisi ilikuwa imeolewa, na ina mtoto mmoja. Mtoto hajui kiswahili kabisa na kazaliwa Tanzania.

Unachosema ni kweli kabisa wako kwenye dunia yao. .
 
Mimi nimezaliwa Dar nimesoma dar hadi Chuo ila chanika sijawahi fika

Pugu sijawahi fika.

Mbagara road nimeishia kongowe tena zamani sana enzi za shule.

Kigamboni yenye juzi kati ndio nimeingia ndichi huko.

Mimi ni mzee morogoro road na bagamoyo road.mitaa karibu yote naipata.

Posta, kariakoo upanga obey, MASAKI kote huko nimezurura sana.

Pia Temeke naipata pata hasa yombo dovya, hadi buza road.

So tupo wengi sana baadhi maeneo ya dar hatuyajui.
Tunasemea wa posta na kariakoo sio wew wa tandale
 
Back
Top Bottom