[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na huku mbagala tuna maisha yetu, huduma zote tunazipata huku kuanzia miguu ya kuku, utumbo, sukari ya sh mia n.k
huyo atakuwa na matatizo. tuseme hata kwenda kuchek ndondo haend. utalikuta hata kuimbisha haliweziKuna dogo mmoja nilikutana nae katika mishe mishe anaishi mtaa wa zanaki hapo posta. Mikocheni hapajui wala ubungo au kawe hata hapo magomeni tu yeye hajawahi kufika.
Ni Posta kasoma shule za mjini, akitaka kusafiri anakula Pipa Airport basi
Mimi nimezaliwa Dar nimesoma dar hadi Chuo ila chanika sijawahi fikamimi nilishangaa mtu anaishi tegeta toka mtoto anasema hajawahi kufika chanika.
kabisa hapajui.
na huku mbagala tuna maisha yetu, huduma zote tunazipata huku kuanzia miguu ya kuku, utumbo, sukari ya sh mia n.k
Maisha ni kuchaguaKuna watu wanakaa kibaha, kiluvya hawajawahi fika katikati ya jiji wakija mjini wanaishia mbezi mwisho. Wakijitahidi sana ni kimara na ubungo fullstop. Zaidi ya hapo hata nauli ya kurudi hawana
Huwajui boda boda na madereva Teksi, bajaji, kirikuu etc.Hakuna mtu anaweza ijua Dar yote hata akae miaka 50
Huyu wa kutotoka nje hakuna kutu anafaidi.Na ndugu zangu wa masaki ukizingatia siku hizi online business imetamaradi Kuna watu nawajua wanaweza kukaa hata miezi 2 awapajui nje kulivyo.
Hii Dunia Kuna wachache wanaifaidi sana
Naunga mkono hoja, kutokujua jambo fulani ni ujinga kama ujinga mwingine. Tujivunie kujua mengi ya dunia.Yaweza kua nikweli, lakin hamna faida ya kujivuna kwakukaa sehem mmoja. Nashauri tutembee kwan kuna faida sana.
Umeelewa kwanza nilichoandika kabla ya kuuliza? Airport ipo posta?Kwa hiyo kuna plane ya Moja kwa moja kutoka huko mpaka ughaibuni bila kwenda kipawa
Oya Chanika to Tegeta mbali ujue.mimi nilishangaa mtu anaishi tegeta toka mtoto anasema hajawahi kufika chanika.
kabisa hapajui.
yah,lakini ni ndani ya mkoa mmoja mdogo kuliko yote tz.Oya Chanika to Tegeta mbali ujue.
Kufika sasa..yah,lakini ni ndani ya mkoa mmoja mdogo kuliko yote tz.
tegeta-kkoo-chanika.hapo ni chini ya masaa 2,sema tu watu hawapendi kuzurula.Kufika sasa..
Tunasemea wa posta na kariakoo sio wew wa tandaleMimi nimezaliwa Dar nimesoma dar hadi Chuo ila chanika sijawahi fika
Pugu sijawahi fika.
Mbagara road nimeishia kongowe tena zamani sana enzi za shule.
Kigamboni yenye juzi kati ndio nimeingia ndichi huko.
Mimi ni mzee morogoro road na bagamoyo road.mitaa karibu yote naipata.
Posta, kariakoo upanga obey, MASAKI kote huko nimezurura sana.
Pia Temeke naipata pata hasa yombo dovya, hadi buza road.
So tupo wengi sana baadhi maeneo ya dar hatuyajui.