Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

True!

Jamaa alifeli school akaenda morogoro kula Forest Hill, ndio chimbuko la vilaza kama January Makamba, Sofia Simba na wengine.
 
Tanzania kuna wana mikakati makini watatu tu, nao ni

1. Abdulrahman Kinana
2.Jakaya Kikwete
3. Emmanuel Nchimbi
Mzee Ally Hassan Mwinyi tunamtoa kwny hiyo orodha kwa kuwa kishachoka ki umri ila ni zaid ya hatare yule Mzee na style yake ile ile kama fala fulani hivi asiejua kitu ila yake na Ukoo wake yamemnyookea zama zote hadi zile zama ngumu za 2015-2021
 
Kwani waliyamaliza na rimoti ya Msoga?
Kwani waligombana ?

Kwani pamoja na kupelekwa Mahakamani unadhan JK na Kubenea ni maadui ?

Harrison Mwakyembe aliangusha Baraza la Mawaziri la Jk 2007, unadhan urafiki wao ulikoma ? the same to Mzee Samwel Sitta?

Siasa za JK unaweza ukachukua PhD ukizifanyia research

hata Chadema na Jk hawajakutana kwa msajili wa Vyama vya Siasa!

2005 walitumika Chadema kumtisha Mkapa asimkate JK, 2007 wakatumika tena kusafisha wanamtandao Serikalini, 2015-2021 wakatumika tena
 
Baba yake Mzazi alikuwa RPC wa mikoa kadhaa na Mwana kijitonyama wa Enzi za Kambarage
 
Hili litapeli si lilishaachishwagwa ubalozi huko Brazili kitambo huko tangu 2021? Unamkaribisha nyumbani kwako au? Nani hajui? Wacha ushenzi.
 
Tanzania kuna wana mikakati makini watatu tu, nao ni

1. Abdulrahman Kinana
2.Jakaya Kikwete
3. Emmanuel Nchimbi
Basi ndio maana tunakwama Daily kama hawa wapumbavu ndio wana mikakati wa nchi hii.Mikakati ya kishenzi shenzi.

Nyerere and the team (yake) ndio walikua wana mikakati.Tena katika global perspective..Mtu anaratibu mikakati ya kupandikza marais nchi za Afrika masharik, maziwa makuu mpaka baadhi ya nchi za SADC kwa maslahi mapana ya TZ kiusalama na uchumi.

Wewe unatutajia Malaya wako watatu hao waliozeeka kiakil mpaka fikra eti ndio wana mikakati .Mikakati ya kuuza nchi?

Wangese wote hao uliowataja
 
Chadema kwakwel mambo yao kwasasa hayana mantik hata....Wamebaki na agenda zao kama magasho hiv wanavizia mabasha.Wananikera kurukia rukia hoja. HAWANA agenda mama wao kama chama..Nilishaachana na kabisa hawa watu
 
Hili litapeli si lilishaachishwagwa ubalozi huko Brazili kitambo huko tangu 2021? Unamkaribisha nyumbani kwako au? Nani hajui? Wacha ushenzi.
Data zako ziko nyuma sana. Hivi sasa alikuwa Balozi wetu Misri
 
Huyo Kinana hapo katengenezwa na huyo huyo Nyerere. Kwa CCM ya sasa ukimuondoa Kikwete hakuna anayezijua na kuzimudu Geopilitics kama huyo Kinana.

Wakati JK kapishana na Kagame, huyo ndo kiongozi Mtanzania pekee aliyekuwa anaweza kwenda Rwanda analala Rwanda na kukutana na Kagame na kuzungumza.

Kinana msikie tu!
 
Mzee Ally Hassan Mwinyi tunamtoa kwny hiyo orodha kwa kuwa kishachoka ki umri ila ni zaid ya hatare yule Mzee na style yake ile ile kama fala fulani hivi asiejua kitu ila yake na Ukoo wake yamemnyookea zama zote hadi zile zama ngumu za 2015-2021
Mzee Mwinyi anajua kula na vipofu. Anajua ajiposition wapi?

Ila kinana ni mwanamikakati haswa. Si ndani si nje ya Nchi. He is the Master
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…