Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Kila mmoja ana pitia changamoto hapa duniani, iwe changamoto ya kifedha, uchumi,msiba na hata mahusiano.

πŸ‘‰ Ila kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya wanna jamii, ambao wamekuwa wakishindwa jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo.

Na hii hupelekea wao kujiona Kama walioshindwa, laaniwa au kutokuwa na bahati katika dunia, lakini hi si kweli kwani kila mmoja wetu katika dunia hii amepitia tatizo au majanga fulani. Na baadhi ya walikuwa wavumilivu, wenye imani, basi walivuka hatua hizo ngumuπŸ™πŸ™

nichukue fursa hii kumkaribisha Tena ndugu yangu, Kaka yangu na hata mwizi mwenzagu National Anthem, kwa kumpa pole kwa yaliyo mkuta. Nimjuze tu kuwa tuko pamoja nae hasa chama chetu Cha wizi, jf usiku wa manane na hata jamii forum kwa ujumla.

nakukumbusha kuwa majonzi ni sehemu ya mwanadamu, lakini yeye Kama baba anapaswa kukaza Moyo ili aendelee kuiongoza na kupambania familia yakeπŸ™πŸ™.

πŸ‘‰ Nyakati ngumu hupita, ila watu imara hudumuπŸ™
πŸ‘‰Imani huamisha milima.
πŸ‘‰I can, I must, I will.

I mean no malice to nobody

 
Uhakika kama kids existed? If they passed away?
 
Watu wanapenda sympathy za kijinga sana, Yani kila hatua ya maisha yako Uzi! Nilitaka kusema hili juzi, ila.... Basi tu

Kuna mtu alifiwa na baba yake siku Hio Hio akapost Instagram, yaani Kuna vitu mpaka unashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…