saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,880
- 2,843
Watu na watuwe, na wewe ukifikwa na lako tutakuwekea Uzi bwa shehe.Mnapata faida gani kuanika maisha yenu mitandaoni humu? Is this real necessary? Do you think people genuinely care?
1. Kapata watoto mapacha (Uzi)
2. Mapacha wamefariki (Uzi)
3. Karibu tena mitandaoni (Uzi)
Seeking attention? From who? Kama kuna mabinti ambao pengine alishawaahidi kuwaoa humu akaishia kuwachezea na kuwaacha unafikiri walifurahi waliposikia kuwa kapata watoto mapacha? Unafikiri machozi yao waliyolia waliposikia kaoa yalikwenda bure?
Mambo mengine mnafanya ni utoto tu wallahi!
Anyway pole sana kwa mfiwa japo nilitegemea pengine achukue angalau kama mwezi hivi ili kuliflect na kumuomba Mungu; na kupata msaada wa kichungaji/kisaikolojia kabla ya kukimbilia kurudi tena kutamba mitandaoni humu hata wiki moja haijaisha.
Anyway, Mungu Ambariki na kuwapoza wafiwa.
Note: Haya ni mawazo yangu tu huru na hayana nia ya kumkwaza mtu wala kudogosha tukio la kusikitisha lililotokea. We all gonna die anyway!