KAtika jumuia flani..
Tuliwahi kuwa na mtu akipinga sana
Kutembelewa watu wenyeshida na
Kupelekewa chochote alisema ni upotevu wa muda na pesa.
Lskini ilifika zamu yake alipatwa na tatizo flani...
Tulijipanga kwenda kumtembelea na tulinunua vitu vya thamani na kabahasha kadogo chenye pesa kidogo.
Tulimtembelea J2 jioni na kufanya sala na maneno machache ya faraja.
Huyo jamaa alilia sana na kutushukuru sana na alisema hivi;
Wanaume wenzangu naomba radhi...sijawahi kujua umuhimu wa watu kupoteza muda wao kumjali mwingine...nimejisikia kufarijika mnoo na kuanzia sasa nitakuwa mstari wa mbele kuwafariji wengine.
Kwako bwana
Thomas Edson
Ukiwa umeshiba hutamewlewa mwenye njaa.
Ukiwa umepewa vingi huwezi kumwelewa muhitaji.
Ukiwa na amani huwezi kumwelewa mwenye huzuni.
Marafiki hupatikana popote hivyo alivyofanya
Intelligent businessman
Sioni ubaya ndg