Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

Watu na watuwe, na wewe ukifikwa na lako tutakuwekea Uzi bwa shehe.
 
Huwa pia inanishangaza mnooo.
 
Jiandae kuitwa hater wana moyo.....leo mtu kafiwa mapacha anatamba huku na kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Raha sana
 
Jiandae kuitwa hater....watu wana moyo it took me years to grieve for my son leo mtu kafiwa mapacha anatamba huku na kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Raha sana
Msiba wako hautuhusu, na hatujataka kuujua. Ila hiyo diss kwa brother angu National Anthem kuwa nayo makiniπŸ€”πŸ€”
πŸ‘‰Akirudi jf, we ina kuuma Nini??
πŸ‘‰Unahisi Hana uchungu πŸ€”πŸ€”
 
Mkuu Mimi sijali Kama Ni mawazo yako au ndugu zako. Ila just know sisi Ni team kubwa. Na familia kiujumlaπŸ™πŸ™
 
Sa
Sa hapa unamlaumu mfiwa au mleta uzi?
Je unafikiri mleta uzi ametumwa au kaleta uzi kwa mapenzi yake mwenyewe?

Ukifiwa huwezi kufungua jf au insta au hata wasap ambazo zote ni mitandao ya kijamii?

Kuingia jf kutakuondolea kumcha Mungu?

Nisamehe tu ni maswali nimejiuliza tu.
 
Jiandae kuitwa hater....watu wana moyo it took me years to grieve for my son leo mtu kafiwa mapacha anatamba huku na kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Raha sana
Mtu akishafariki unatakiwa ushukuru na uendelee na maisha ya kawaida kutokukubaliana na hali ni dalili za kukufuru
Kwahiyo acha jamaa aendelee na maisha yake, kama wewe huwezi kukubaliana na hali usitake na yeye awe hivyo kwakua wewe ni wewe na yeye ni yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…