Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #41
Asante Sana Kaka, maana dah Kuna watu ujuaji ni mwingi na kujifanya wachambuziSa
Sa hapa unamlaumu mfiwa au mleta uzi?
Je unafikiri mleta uzi ametumwa au kaleta uzi kwa mapenzi yake mwenyewe?
Ukifiwa huwezi kufungua jf au insta au hata wasap ambazo zote ni mitandao ya kijamii?
Kuingia jf kutakuondolea kumcha Mungu?
Nisamehe tu ni maswali nimejiuliza tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kabisaaaAweee! Na vichambo juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Asante Sana Kaka, maana dah Kuna watu wanna ujuaji wa kimataifa. Mixer kujiona wachambuziMtu akishafariki unatakiwa ushukuru na uendelee na maisha ya kawaida kutokukubaliana na hali ni dalili za kukufuru
Kwahiyo acha jamaa aendelee na maisha yake
Hiki ndicho Cha muhimu Kaka, nimefanya Kama kumshauri na kumpa Moto ndugu yangu.Sawa mkuu.
Nyie ni timu kubwa sana.
Na familia kiujumla.
Mungu Awabariki...
Na poleni sana kwa msiba huo mzito [emoji120][emoji2536]
Mi mwenyewe na shangaa , JF imevamiwa , Leo hii mtu hata akifanikiwa kunya anakuja kujisifu na kufungua Uzi humu...Sasa huyu pimbi angeandika hivi angepungukiwa na nini?
Yani tutowe pole bila kujuwa mtu amefikwa na shida gani?
Fala sana huyu.
Your name should represent big and positive thoughts. Na sio ujuaji wa kimchongo🤔🤔Unfortunately majibu yote unayo mwenyewe. Good luck!
Mi sio bepari hivyo sifugi mahela, una kosea kutuweka kundi moja na bankMi mwenyewe na shangaa , JF imevamiwa , Leo hii mtu hata akifanikiwa kunya anakuja kujisifu na kufungua Uzi humu...
Imenishangaza sana, mtu akifiwa hakuna kosa watu wake wa karibu kumfariji kwa kumpa pole, hakuna usiri katika kufiwa hiyo siyo Siri ni hali ya kibinadam ambayo watu wanatakiwa kushirikianaAsante Sana Kaka, maana dah Kuna watu wanna ujuaji wa kimataifa. Mixer kujiona wachambuzi
Nimeshangaa comments za memberNini Tena 🤔??
KAtika jumuia flani..Sawa mkuu.
Nyie ni timu kubwa sana.
Na familia kiujumla.
Mungu Awabariki...
Na poleni sana kwa msiba huo mzito [emoji120][emoji2536]
Duh..kumbe anatàmba🤔anatamba
We didn't even give a shit about you, suddenly you started acting as if you are our teacher.Uko sahihi [emoji122][emoji122][emoji122]
Endeleeni kuanika maisha yenu mitandaoni humu.
For the respect of the little angels, I am out of this useless discussion!
Kuna Watu wanna chuki, na mihemuko ya ajabu sanaNimeshangaa comments za member
Unatambaje na umepoteza wanao jamani!Hamna kitu Kama hichoo, ni chuki tu za mihemuko rubii
Sishindani na pulizio la mchongoNilikuwa sikujibu wewe!
Unfortunately huwa sijibishani na mtu ambaye siongei naye...
Umeleta liuzi hapa...
Mawazo mbadala yatakuwepo tu utake usitake!
Kwa hivyo usikomae sana na kutaka ku-control mawazo ya watu hapa.
After all, you must be grieving.
Please respect yourself and let the little angels rest in peace!
Shida Kuna watu wanna umia, pale tunapo wafariji au kuwapongeza baadhi ya ndugu zetu.Unatambaje na umepoteza wanao jamani!
Asante Sana Kaka, hope kila mmoja atajifunza kupitia andiko hili🙏🙏KAtika jumuia flani..
Tuliwahi kuwa na mtu akipinga sana
Kutembelewa watu wenyeshida na
Kupelekewa chochote alisema ni upotevu wa muda na pesa.
Lskini ilifika zamu yake alipatwa na tatizo flani...
Tulijipanga kwenda kumtembelea na tulinunua vitu vya thamani na kabahasha kadogo chenye pesa kidogo.
Tulimtembelea J2 jioni na kufanya sala na maneno machache ya faraja.
Huyo jamaa alilia sana na kutushukuru sana na alisema hivi;
Wanaume wenzangu naomba radhi...sijawahi kujua umuhimu wa watu kupoteza muda wao kumjali mwingine...nimejisikia kufarijika mnoo na kuanzia sasa nitakuwa mstari wa mbele kuwafariji wengine.
Kwako bwana Thomas Edson
Ukiwa umeshiba hutamewlewa mwenye njaa.
Ukiwa umepewa vingi huwezi kumwelewa muhitaji.
Ukiwa na amani huwezi kumwelewa mwenye huzuni.
Marafiki hupatikana popote hivyo alivyofanya Intelligent businessman
Sioni ubaya ndg
Japo uliandika gazeti 2 pia lkn tulisoma.Sijasoma gazeti uliloandika.
Nimeshatimiza haki yangu ya kutoa maoni yangu. Endeleeni tu kuanika maisha yenu mitandaoni humu. Ni maisha yenu!
For the respect of the little angels, I am out of this useless discussion!