Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

Kama wewe tu unavyotaka kumpangia mtoa mada asimpe pole mfiwa hapa public.
Nyuzi kama unaona inakukereketa unaachana nayo tu kuliko kulialia kwamba watu wasiandike nyuzi.
 
Naona Mwandishi ana kula za uso baada ya kuleta uchawi
 
Anakuja saa ngapiπŸ€”πŸ€”
Ukalambe viatu
 
Mkuu kuna baad
Mkuu kuna baadhi ya watu ndivyo walivyo, hawawezi kibadilika, wangetamani hata wakienda msalani waposti kwa mitandao..
 
Hako kadada ni kanafiki kakubwa, makasiriko Kama amekosa uji wa msibani πŸ˜‚πŸ˜†
 
Mbarikiwa wa chuki na mapovu ya kimataifa
Kwenda kenge waheed

Hako kadada ni kanafiki kakubwa, makasiriko Kama amekosa uji wa msibani πŸ˜‚πŸ˜†
Madam Kuna watu wanna chuki na mapovu Kama wamekosa uji wa msibani. Kuanzia rubii na huyo Thomas Edson aliye badilisha I'd ili aje kututukanaπŸ˜‚πŸ˜‚

Kiasi Cha kuja kuropokea watu mapovu yasiyo na msingiπŸ˜‚πŸ˜†. Kenge waheed
Punguza chiki, hatujakuita huku komwe kubwaa


πŸ˜ƒπŸ˜ƒ ujumbe mmoja tu mwanaume unaimba taarabu
Lakini muhusika na wenye hekima wameelewa wewe mpambe nuksi endelea kutunga shairi
 
Aisee ni kitambo Sana...Ila wengi humu wa zamani ngumu kuwajua coz wamebadili username
kabisa yaani wako id mpya uikiona mtu anakusalimu sana jua huyo wa zamani maana kumtambua inakuwa ngumu
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ ujumbe mmoja tu mwanaume unaimba taarabu
Lakini muhusika na wenye hekima wameelewa wewe mpambe nuksi endelea kutunga shairi
Ain't giving a shit about you
Na next time ni marufuku
Usitufate huku
Coz una nuka chuki,
Kama mizoga ya kuku
 
Umeongea jambo la maana sana, kwanini vitu vingine visiwe private[emoji848][emoji1745]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…