Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kama wewe tu unavyotaka kumpangia mtoa mada asimpe pole mfiwa hapa public.Tangu lini tukaanza kupangiana kitu cha kuandika hapa JF mkuu - hasa kama siyo kitu kinachovunja sheria? Mbona wewe hukupita zako ukaacha kuizingatia comment yangu hii?
Ni nini kinachokufanya wewe uwe na haki ya kuamria watu kitu cha kuandika hapa JF au nyuzi za kuzingatia?
Kama mnataka watu wa comment mambo mnayoyapenda pekee basi mtoe maelekezo/disclaimer kuhusu mawazo mnayotaka kuyasikia...vinginevyo muwe wavumilivu au msiweke nyuzi zenu hapa public WHERE WE DARE TO TALK OPENLY!
Nyuzi kama unaona inakukereketa unaachana nayo tu kuliko kulialia kwamba watu wasiandike nyuzi.