Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Ni easy kufanya maitanance kuliko ppr pili hazina mambo mengi na mpangilio wake ni lahisi sana kwa mtu yoyote kikubwa umakini wa kati wa kufunga katika joint
Uko sahihi kwa upande wa maintenance

Kwa majengo makubwa PPR inarahisisha kazi

Kinachofanya PPR isitumike kuna sababu kadhaa

(1)Wenye nyumba nyingi huwa wanazitilia shaka. Hasa wanapoona PPR machine ikiwa inatumika kuunganisha pipe na fittings wanogopa leakage

(2)Mafundi bomba wengi hawana PPR machines

(3)Ili utumie PPR machine lazima utumie umeme. Na sites nyingi wakati wa hatua ya plumbing umeme unakua bado

Mwisho wa siku huku mitaani PPR zinakosa soko. Lakini kwenye majengo makubwa kama maghorofa ni mwendo wa PPR mwanzo mwisho
 
Duu. Pole sana. Tundu la 4m lipo wazi tu.
 
Wachimba visima wengi wahuni, usipokuwepo wanaweka mabomba machache au kuchimba mita chache
 
Iko vizuri ila kwa Watz wengi huwa hatupendelei.

Ndio maana nguo zetu zinapauka mapema na sababu kubwa ni Sabuni tunazotumia ni kali sana, pia twaanika juani.

Maji yetu sio masafi
Uchumi hela ndio ina amua ila ni vyema kwenye ujenzi ukafikilia mbali sana kuweka matoleo ata kama itachukua mda mrefu kumaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…