Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Uko sahihi kwa upande wa maintenanceNi easy kufanya maitanance kuliko ppr pili hazina mambo mengi na mpangilio wake ni lahisi sana kwa mtu yoyote kikubwa umakini wa kati wa kufunga katika joint
Kwa majengo makubwa PPR inarahisisha kazi
Kinachofanya PPR isitumike kuna sababu kadhaa
(1)Wenye nyumba nyingi huwa wanazitilia shaka. Hasa wanapoona PPR machine ikiwa inatumika kuunganisha pipe na fittings wanogopa leakage
(2)Mafundi bomba wengi hawana PPR machines
(3)Ili utumie PPR machine lazima utumie umeme. Na sites nyingi wakati wa hatua ya plumbing umeme unakua bado
Mwisho wa siku huku mitaani PPR zinakosa soko. Lakini kwenye majengo makubwa kama maghorofa ni mwendo wa PPR mwanzo mwisho