Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Ni easy kufanya maitanance kuliko ppr pili hazina mambo mengi na mpangilio wake ni lahisi sana kwa mtu yoyote kikubwa umakini wa kati wa kufunga katika joint
Uko sahihi kwa upande wa maintenance

Kwa majengo makubwa PPR inarahisisha kazi

Kinachofanya PPR isitumike kuna sababu kadhaa

(1)Wenye nyumba nyingi huwa wanazitilia shaka. Hasa wanapoona PPR machine ikiwa inatumika kuunganisha pipe na fittings wanogopa leakage

(2)Mafundi bomba wengi hawana PPR machines

(3)Ili utumie PPR machine lazima utumie umeme. Na sites nyingi wakati wa hatua ya plumbing umeme unakua bado

Mwisho wa siku huku mitaani PPR zinakosa soko. Lakini kwenye majengo makubwa kama maghorofa ni mwendo wa PPR mwanzo mwisho
 
Kisima kime kufa kwa uzembe na uongo wa wachimbaji hiki kisima kina kina cha mita 70 lakini mabomba pvc pipe yame anzia mita 50 kuja juu pump ilikuwa ina tabia ya kukwama kwenye tope ilipo vutwa kutolewa imeshindikana kabisa kutoka na ilipotumika nguvu ya ziada kamba imekatika na pump kubaki chini kwenye tope milioni 4 za kisima zimezikwa hapo ..View attachment 2506937
Duu. Pole sana. Tundu la 4m lipo wazi tu.
 
Mpangilio wa laundry room; washing machine na washing basin na yenye meza ya kunyooshea nguo
Screenshot_20220428-145655_Pinterest.jpg

Screenshot_20220509-135420_Pinterest.jpg
 
Kisima kime kufa kwa uzembe na uongo wa wachimbaji hiki kisima kina kina cha mita 70 lakini mabomba pvc pipe yame anzia mita 50 kuja juu pump ilikuwa ina tabia ya kukwama kwenye tope ilipo vutwa kutolewa imeshindikana kabisa kutoka na ilipotumika nguvu ya ziada kamba imekatika na pump kubaki chini kwenye tope milioni 4 za kisima zimezikwa hapo ..View attachment 2506937
Wachimba visima wengi wahuni, usipokuwepo wanaweka mabomba machache au kuchimba mita chache
 
Iko vizuri ila kwa Watz wengi huwa hatupendelei.

Ndio maana nguo zetu zinapauka mapema na sababu kubwa ni Sabuni tunazotumia ni kali sana, pia twaanika juani.

Maji yetu sio masafi
Uchumi hela ndio ina amua ila ni vyema kwenye ujenzi ukafikilia mbali sana kuweka matoleo ata kama itachukua mda mrefu kumaliza
 
Back
Top Bottom