Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Air valve ni valve ambayo ina linda bomba lisi pasuke na kusaidia msukumo wa maji uende vizuri...Kuna kitu kina itwa water hammer. water hammer hii ni pale hewa na maji vina kutana kwenye bomba then kila mmoja ana pambana kupita mfano mdogo unapo fungua bomba badala ya kutoa maji inatoka hewa vile vile ina leta tatizo la mzunguko wa maji kubwa zaidi kupasuka kwa bomba la maji.. Hili kuondoa haya matatizo ina fungwa valve hii ambayo kazi yake ni kuondoa hewa ndani ya bomba na kuna size mbali mbali kulingana na matumizi ya eneo husika..
 
Gate Valve au stop cock kisheria ina bidi ikae inje hili i control maji yanayo ingia ndani lakini inapo wekwa ndani ni kosa ikitokea ika alibika au bomba kupasuka utakuwa huna jinsi ya ku control maji tena mpaka uka funge kwenye mita au tank maana ukarabati wake ni mgumu sana..
 
Kwa ajili ya wazee au wagonjwa ina fungwa kwenye choo cha kukaa bei 200,000/= kwa dar
 
Mkuu gate valve sio sheria ikae njee. Hata ndani inakaa, ila sheria ni lazima iwe mwanzo kabla ya Sanitary ware yeyote ile kufuata ili kuweza kuthibiti maji iwapo kuna shida kwenye sanitary ware au wakati wa maintenance. Hapo jamaa kaweka stop cock sijajua mantiki yake labda ametaka aifanye kama Angle valve.
 
Mkuu endapo gate valve iki alibika uoni utaleta ualibfu tukianzia na tilies
 
Mkuu endapo gate valve iki alibika uoni utaleta ualibfu tukianzia na tilies

Mkuu kwa mfano hii PPR gate valve ipo ndani ambapo tiles zipo chini, na mara nyingi ikiharibika ni kile ki rubber seal kinakua kimelika unaweza ukaifungua gate valve na kuweka ki rubber seal kingine bila kuathiri miundo mbinu mingine
 
Kwa maitaji ya kujengewa chemba zenye ubora na kwa bei nafuu 0785707660
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…